Flirting. . .

There must be something wrong with my eyes, I can't take them off you.

'simple flirt quotations ',nijuavyo wanawake ndo mabingwa wa mitego hii ya kihasara hasara
 
Lizzy, that is my opinion. If my man does it, then ananisaliti. But kuna mtu anachukulia poa tu, haoni kama ni kosa kiivo. Kwa huyo hakuna shida. So it is not an absolute truth. It is valid only between two people who have the same understanding.

And, just a reminder RussianRoulette, there is NOTHING like Absolute Truth.....tuendelee:baby:
 
Last edited by a moderator:
Well, kwa maneno ya wengi ni kwamba wenza wao hawapo humu. Ukiwauliza wamejuaje kama wenza wao hawapo wakati watu tunatumia majina bandia - hakuna jibu la kuridhisha.

Nitoe mfano mmoja, Ashadii si ni rafiki yako? Si huwa anasema kaolewa na mumewe hayupo humu? Je, huwaga ana-flirt na Kaizer au huwaga ha-flirt naye? Na Kaizer naye si kaoa? Au Kaizer na Ashadii ni mtu na mkewe?

Hahahahaha, sasa hapo unataka kuanza name calling.
  1. Maybe ni mtu na mume wake kweli?
  2. Maybe respective partners wao hawaoni shida?
  3. Maybe AshaDii and Kaizer think it is not important to discuss it with their respective partners as they consider it not to be that bad?

What I believe in is only relevant for me and my man because we have discussed about it and we are satisfied that we see the same things in it. Siwezi kumsemea AshaDii au Shemeji yangu Kaizer.

Ngoja nimwite AshaDii tuone kama atakuja kukujibu (She is very busy lakini, sijui kama ata pata time. lol)

Nashindwa pa kuanzia kwa kweli…. Nyani Ngabu sio mara yako ya kwanza kuuliza hii kitu…

RussianRoulette sorry for the delay kwa kweli yameumana, Napost hii kitu then will be back later kama naweza.

I wish Sweetie Kaizer angekuwepo hapa anisaidie pia…..lol

The game of flirtin sio ya kuiga…. Ina watu wake wanaojua the rules of the game. The positive and negative side of it. Naamini everybody is a flirt in some point thou intensity imepishana. Ningependa nisema mengi sana…. Na I have loads on the Subject. One thing I can say ni kua AshaDii na Kaizer flirt Yes, we are adults we know what we are doing. Ila kuna msemo wa Kiswahili wanasema iga ufe! Wanaume hua wanachukulia advantage ya flirting vibaya mno na kwa kweli a mdada yoyote inabidi awe makini katika hilo else anaweza umia physically or hata emotionally. But I have been lucky….. Of a very few true gentlemen I have known in my life…. Kaizer is one of them.

are we cheatting? only him and I know that, sidhani kama kuna haja ya kujibu hapa for kila mtu anajua ni suala la makubaliano kati ya wahusika na twajua fika whatever the answer lazima itakua rejected depending on one's observertion.
 
Baba T naona tunasemwa kijanja hapa. Hebu njoo hapa useme kama kuna mke mkubwa mie niache kukuita yale majina yetu matam matam hapa......nisije ongezewa zambi bureee
 
And, just a reminder RussianRoulette, there is NOTHING like Absolute Truth.....tuendelee
baby.gif

Dah.... Sweetie you have made it.... THANK U. Ila naomba nikaendelee na ile shughuli nikuache na shemejio.
 
Baba T naona tunasemwa kijanja hapa. Hebu njoo hapa useme kama kuna mke mkubwa mie niache kukuita yale majina yetu matam matam hapa......nisije ongezewa zambi bureee

Yummy,kwa viwango tulivyojiwekea leo ujue ume cheat hapo,shauri lako.
 
Dah.... Sweetie you have made it.... THANK U. Ila naomba nikaendelee na ile shughuli nikuache na shemejio.

well....I am lucky to have seen this thread..and thanks for the eloquent answer (as always)...sidhani kama nahitaji kuongeza chochote hapo love

Sasa basi tukiendelea na hii sredi,m hivi NN na Husninyo huwa wakifanyaje....? LOL, I guess NN atakuwa anammiss sana Husn, isije ikawa flirting imesababisha ajitoe humu JF? Tunaweza kuanzia hapo
 
Asante sana AshaDii. Nimefurahi kuona hujaleta siasa. Kwa hilo pokea heshima zangu.

:israel::israel::israel:AshaDii sio mwanasiasa kivile...She suits more of a Wife than a Politician LOL

Hivi umemsoma SMU? Nini maana ya kuflirt kama 'unaflirt' na the real one .....hahahaha
 
And, just a reminder RussianRoulette, there is NOTHING like Absolute Truth.....tuendelee:baby:
Kweli kabisa. Kuna makubaliano tu. Na hata hayo makubaliano ni general rules tu because yana circumstances when you can actually break the rules you made and still get away with it. It is all so relative...

Dah.... Sweetie you have made it.... THANK U. Ila naomba nikaendelee na ile shughuli nikuache na shemejio.
Asante alter kwa kuitika wito wa kujibu suali la Nyani Ngabu, I hope kakupata. Kiss kiss my alter (Kaizer is in good hands hapa, hakuna mtu anakuja kuflirt nae lol)
 
Last edited by a moderator:
Nashindwa pa kuanzia kwa kweli…. Nyani Ngabu sio mara yako ya kwanza kuuliza hii kitu…

RussianRoulette sorry for the delay kwa kweli yameumana, Napost hii kitu then will be back later kama naweza.

I wish Sweetie Kaizer angekuwepo hapa anisaidie pia…..lol

The game of flirtin sio ya kuiga…. Ina watu wake wanaojua the rules of the game. The positive and negative side of it. Naamini everybody is a flirt in some point thou intensity imepishana. Ningependa nisema mengi sana…. Na I have loads on the Subject. One thing I can say ni kua AshaDii na Kaizer flirt Yes, we are adults we know what we are doing. Ila kuna msemo wa Kiswahili wanasema iga ufe! Wanaume hua wanachukulia advantage ya flirting vibaya mno na kwa kweli a mdada yoyote inabidi awe makini katika hilo else anaweza umia physically or hata emotionally. But I have been lucky….. Of a very few true gentlemen I have known in my life…. Kaizer is one of them.

are we cheatting? only him and I know that, sidhani kama kuna haja ya kujibu hapa for kila mtu anajua ni suala la makubaliano kati ya wahusika na twajua fika whatever the answer lazima itakua rejected depending on one's observertion.
Asha i have a feeling umekuwa rattled,pole dear.
 
Sasa basi tukiendelea na hii sredi,m hivi NN na Husninyo huwa wakifanyaje....? LOL, I guess NN atakuwa anammiss sana Husn, isije ikawa flirting imesababisha ajitoe humu JF? Tunaweza kuanzia hapo

Ndiyo maana nikasema kwa mtaji wa kama alivyoelezea RR basi wengi wetu humu tuna-cheat.

Kuhusu Mwajuma, naona kaamua tu kupumzika na nina hisia atarudi tu, kama hajarudi tayari. Manake huwezi jua humu...usikute Erotica ndiyo yeye...au usikute Erotica ndiyo RussianRoulette...(huu ni mfano tu)
 
hahaha ndo maana , tukaona tuwe na katiba kabisa....lol

aisee seriously nammiss Mwajuma...kama ndo erotica then am doomed:eek2:
 
Back
Top Bottom