jG I miss you sanaaaa jouneGwalu bila kumsahau KongoshoBwana hebu tuvumilie tu hivyo-hivyo, utafikiri hujui maradhi yangu na wewe....
Sasahivi tutagombana ukianza zako
Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so.
Baba chanja wangu umwambie side nigga!mi naona Flirting is harmless fun ili mradi isivuke mipaka. I flirt....aisee nimeshaepuka ticket ya traffic sanaaa ila sitoi namba nitamchekesha afande wee mpaka tunaagana, route zangu za kawaida tunapungiana mikono tu, kama niko na hubby namtania side nigga yule... basi tu kuchangamsha genge afu tunayamalizia chumbani.... maisha ni mafupi kuwa serious kila sekunde, kazi ngumu, hela ngumu, stress kibao, its just fun isivuke tu mipaka ila kuna wale uki flirt nao basi anawaza unamtaka doh!, nawashusha taratiiiibu afu nasepa fastaaa...siku inaenda tu.
You are right Curvyminx flirting ni changamsha genge ila hatari inakuja pale wahusika wanapokolea to the point of wanting to move another step. Its TEMPTING aiseee, especially pale mtu anapokuwa extra extra flirtatious. Kwahiyo ni bora to avoid it all together.mi naona Flirting is harmless fun ili mradi isivuke mipaka. I flirt....aisee nimeshaepuka ticket ya traffic sanaaa ila sitoi namba nitamchekesha afande wee mpaka tunaagana, route zangu za kawaida tunapungiana mikono tu, kama niko na hubby namtania side nigga yule... basi tu kuchangamsha genge afu tunayamalizia chumbani.... maisha ni mafupi kuwa serious kila sekunde, kazi ngumu, hela ngumu, stress kibao, its just fun isivuke tu mipaka ila kuna wale uki flirt nao basi anawaza unamtaka doh!, nawashusha taratiiiibu afu nasepa fastaaa...siku inaenda tu.
hahahahahahah mimi mbavu zangu jamanNa wewe siku ukipata wako unawaomba wakuweke kwenye ignore list? Unachotakiwa ni kutoendekeza.
Yeahhh kabisa. . .
Na wengine wanavyoitanaga PM. . .hata kama hawaendi huwezi jua.
Superb.. Glad you are ok...Fresh kabisa RR how is you?!Missed you much!
I know, right?! Those days were the days kwakweli. Nikipata muda ntakuwa naibuka ibuka kidogo so we can reminisce.
Flirt ni ushamba kwa mtu ambaye yupo kwenye mahusiano, huwezi kuwa na mume au mke halafu unachati na watu wa jinsia tofauti kwa kuwaambia Yale ambayo kwa kawaida ni mali ya mumeo, na bado useme ni sahihi. HUO NI UASHERATI wa wazi kabisa.Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so.
Swali. . .utajisikiaje kumuona mpenzi/mume/mke wako akiflirt na wanawake/wanaume wengine?! Na kwa hapa JF ambapo watu wanaflirt saaaaana tena waziwazi (I suppose ndo sababu watu wengine wanaogopa wenzi wao kufahamu ID zao humu) ukiwa unaifahamu ID ya mwenzio na ukawa unaona anavyoflirt (wanavyoitana majina matam tam ambayo wewe hajawahi kukuita) na wadada/wakaka wa humu utajisikiaje?!Vibaya/vizuri/hutojali?!
Binafsi nisingependa/furahia wala mimi nisingefanya. Ningependa tuflirt sisi kwa sisi bila kushirikisha watu wengine.
Why not?
Kule ni kutaniana, unashindwa nini kutaniana na mtu wako?