Flirting. . .

Flirting. . .

Thats why most of us remain anonymous.. Kama we had to reveal ourselves pasingetosha!
Binafsi i find flirting so cool.. But i cant stand seeing my man throwing some romantic lines to another woman hata kama ni just for FUN! Selfish huh!? Ila ndo maisha.. I'd rather not find out..

Ila nasikia wengine humu wana flirt mpaka it turns to a REAL thing! That could mean trouble..
 
.... BelindaJacob, .....mnh,.....'kifua kipana!' ....nakweli mydear, at own risk. Ukishatamka maana yake inabadilika...
Mbu hihihhhh thanks ''at own risk'' .. ila mimi simo kabisa..You've a soulmate thus don't flirt around🙂) Deal??!

Mbaya zaidi unaye-flirt nae achukulie serious..khaah!!

Mbu na BelindaJacob

mie mbea niko hapa, am not watching yoy guys!

Mmh Kongosho si unamwona Mbu alivyo ''honest'' ..mbele ya soulmate katekwa moyo huyo!! no flirting kabissaa
 
Last edited by a moderator:
Mbu hihihhhh thanks ''at own risk'' .. ila mimi simo kabisa..You've a soulmate thus don't flirt around🙂) Deal??!

Mbaya zaidi unaye-flirt nae achukulie serious..khaah!!

Mmh Kongosho si unamwona Mbu alivyo ''honest'' ..mbele ya soulmate katekwa moyo huyo!! no flirting kabissaa

.....hahahaha, BelindaJacob.....acha utundu! mimi nishaelewa somo bana, acha kunitia makwenzi basi, loh!
 
Last edited by a moderator:
Thread hii imenifundisha kitu kimoja kikubwa kwamba Wasanii wanapaswa kuoana wenyewe Wasanii kwa Wasanii, Maana kama wewe ni Mwanamke na mume wako ni James Bond basi kazi ipo, na kama wewe ni Mwanaume na mke wako ni Angeline Jolie au Solidad Santander basi kazi ipo.

Nadhani kila Mwanamke atajisikia raha akiwa na mwanaume wa aina ya Jason Statham ambaye anaweza kumaliza movie mzima bila kulala na Mwanamke.

Ukiwa na mke au Gal friend wa aina ya Anti Ezekiel au Irene Uwoya ni kujitafutia kurushwa Roho pasi na sababu yoyote.
 
Ila kaka akili yako huwa inakutosha mwenyewe, lol!:A S 465:
Hivi nikisema nimekumisi ni kuflirt? nisije nikamuudhi wifi, ngoja niseme nimemisi vitumbua vya kwenu

... Hahahaha, nimeipenda sana hii.....ati?~ well, aheri ya nusu shari... King'asti....nimeupenda mwandiko wako wa JF....kha!
 
Last edited by a moderator:
Ila King'asti uliposema "nimemis vitumbua vya kwenu" nilistuka kidogo!Lol!
 
Last edited by a moderator:
......kama alivyoandika BelindaJacob flirting is fun if you dont mean it...

Lakini je? Ni sahihi kumwambia mwenzako "am having fun, flirting with mbu,....i dnt mean anything harmful?"....

of course there is no problem.

Better flirt with a stranger than chatting with ex husband/wife or ex boyfriend/girlfriend.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
AshaDii, naomba unilinde, Kaizer anataka kunisulubu afu ndio anataka kuanza kuflirt hivi ukiwa wewe haupo.

(kaizer, mwambie Asprin asinisulubu, nakusingizia kwa ADii unataka kuniflirt bila ridhaa yangu)

Usijali Kongosho, wewe huwa wanilinda saana.. Hata hivo sababu it is you, naomba nikupe siri lol. Hapo anatingisha kiberiti tu, kikitingishika know umeumia, kisipotingishika jua umepona na hakitatingishwa tena. lol hivo gangamala.... Hao ambao watakubali ku flirt na Sweetie hali sipo ndio ninao waonea huruma.... Ole wao.... (nisiseme mengi wifi King anasema nina wivu).

Ila kaka akili yako huwa inakutosha mwenyewe, lol!:A S 465:
Hivi nikisema nimekumisi ni kuflirt? nisije nikamuudhi wifi, ngoja niseme nimemisi vitumbua vya kwenu

Wifi mbona unakua mkorofi hivo? Huo wasi wasi uanze leo? C'mon sina wivu kiasi hicho hata kwa dadake...lol. Alafu hatajapika siku nyingi mpenzi. Labda weekend hii uje tukupikie... Kama kawaida karibu dearest.
 
... Hahahaha, nimeipenda sana hii.....ati?~ well, aheri ya nusu shari... King'asti....nimeupenda mwandiko wako wa JF....kha!

Ila King'asti uliposema "nimemis vitumbua vya kwenu" nilistuka kidogo!Lol!

...lol... Acheni vituko nyie... Mie ni mtaalamu wa pishi la vitumbua. Karibuni weekend home mjione...lol
Mbu na Eiyer you have been misses jamani. Naamini nyie ni wazima.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
).

Wifi mbona unakua mkorofi hivo? Huo wasi wasi uanze leo? C'mon sina wivu kiasi hicho hata kwa dadake...lol. Alafu hatajapika siku nyingi mpenzi. Labda weekend hii uje tukupikie... Kama kawaida karibu dearest.
NImechoka kuflirt na Kaizer jamani....hadi pm yangu immejaa sasa....
 
Last edited by a moderator:
NImechoka kuflirt na Kaizer jamani....hadi pm yangu immejaa sasa....

Smile najua... Pole mdogo wangu... Mkifanya huko pm ina maana anakuficha kwangu, hataki nikujue.... Hainisumbui wala sikulaumu....Kwanza nikupongeze kwa kujua kuchagua.... He is so much fun to flirt with... Angalia tu unajua rules of the game na you don't fall in love.... Sababu at the end of the day hutampata... for AshaDii na Kaizer ni kapo ambayo huwezi vunja. lol

Smile mzima lakini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom