Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Umejuaje? Haswaaaa.
Na mimi nimeuliza tu wifi, usikute mwenyewe hupendi kutendewa ila unapenda kutenda.
Na mimi nimeuliza tu wifi, usikute mwenyewe hupendi kutendewa ila unapenda kutenda.
OLESAIDIMU, nimecheka sana hayo ya champagne. hahaha. Ngoja na mimi nikapate class kwanza, nikija kupata kuanza flirts za hapa na pale nisichemke. lolAhlaan wasahlaan my dada.....................you mean hata soda ina jinsi ya kufungua sio......ukipaparika umeivunja......na watu watakuona how come!!!!!!!!! Au kama champaigne......harusini ukapiga splash kama ya formula one na kuwachafua watu watu suti zao.................iiiiiiiishhhhhhhhh
You remain to be superb
Kwangu haijawahi tokea.
OLESAIDIMU, nimecheka sana hayo ya champagne. hahaha. Ngoja na mimi nikapate class kwanza, nikija kupata kuanza flirts za hapa na pale nisichemke. lol
Labda nikizeeka. . na kipindi hicho haitokua na maana.
afu wala hujanialika nije hapo, ina maana Erotica kachukua kila kitu?
Huyo Mpeleke Goligota....
Hivi unaweza kunipa sababu kuu tatu kwanini hujibu PM zangu? Au ndo unahisi nafanya mambo ya flirting via keyboard kwa hisani ya fake names?
Kama ni utani (joking,teasing) hiyo twafanya sana. Nadhani hapa issue ni wakati gani utaita joking au teasing na wakati gani inakuwa flirting. Lugha za watu hizi zinanipa shida kidogo!...ni kama vile mtu akisema anazini na mkewe au mumewe badala ya kusema anafanya tendo la ndoa kwa sababu either way kitendo ni kilekile.Kitu kikifanywa kwa utani sio guarantee kwamba hakimaanishwi. Kama huwezi kutaniana na mwenzi wako basi kazi unayo.