Flirting. . .

Flirting. . .

Hahahahaha, hapo sasa! Mi simo, ngoja nipotee...
Hivi mimi na Saint Ivuga tuna flirt au tunatania?
Babu akimwita mjukuu wake kama mchumba wake
Nambie, ni flirting au ni utani wa babu na mjukuu?
Maana nahisi utani wangu na Ivuga ni more like that
It has no explicit sexual interest, like the flirts do...
more than genius
 
Nambie Mbu! Na we ni mwanachama wa flirting?? If yes.....huwa unapenda kuflirt na watu wa aina gani?

....hapana, I dnt flirt at all.....ila navutiwa sana na jina la Kipipi.....utotoni 'pipi za kijiti' aka lollipop was my fav.... 😉
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hapa ni Kuflirt sio? Haya mjukuu hapo juu hebu ntafutie wa kuflirt nae hapa!
 
Kumbe hapa ni Kuflirt sio? Haya mjukuu hapo juu hebu ntafutie wa kuflirt nae hapa!

Hahaha Babu haya mambo ya vijana utayaweza Babu yangu?
Nway hapa ni self service jichagulie isipokuwa angalia waliokwishawahiwa usijesababisha ngumi hapa na pia waexclude wajukuu zako wasijekumwagia ugoro Babu yangu....................
 
MwanajamiiOne mumeo Mbu kanipeperushia ndege wangu@RR SINA HATA WA Kuflirt nae tena jamani...kumbe hiyo familia yenu si watu wema
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne mumeo Mbu kanipeperushia ndege wangu@RR SINA HATA WA Kuflirt nae tena jamani...kumbe hiyo familia yenu si watu wema

RR is in luv with them bluez!
avatar48795_20.gif

.....and TGIF.... Smile hakunaga wa kumzuia RR ku-flirt+ na them bluez...
 
Last edited by a moderator:
@mwanajamiione mumeo Mbu kanipeperushia ndege wangu@RR SINA HATA WA Kuflirt nae tena jamani...kumbe hiyo familia yenu si watu wema

......Smiles jamani Soulmate wangu hawezikukutenda hivi ! Mbona alikuwa ndo anakuchombezea kwa RR Jamani? Sema tu RR kakimbia ushindani, mtoto mashallawh ! Sofa hilo si mchezo kaona mh! presha!

Ngoja nikushtulie arudi
 
RR is in luv with them bluez!
avatar48795_20.gif

.....and TGIF.... Smile hakunaga wa kumzuia RR ku-flirt+ na them bluez...

....hakunaga! dingriiz hiyo na ki topu, tena figa eiti ( aaa-tchooo!~ chafya)

....safari njema... 😉
 
Last edited by a moderator:
......Smiles jamani Soulmate wangu hawezikukutenda hivi ! Mbona alikuwa ndo anakuchombezea kwa RR Jamani? Sema tu RR kakimbia ushindani, mtoto mashallawh ! Sofa hilo si mchezo kaona mh! presha!

Ngoja nikushtulie arudi
amerudi RR wangu .... loh umemkuta wapi...ndo maana nakupenda sis najua wewe huwezi nidhuru...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom