Flirting. . .

Flirting. . .

Hahahaha. . .we Mwali acha ujanja. .
Nyie mnaitana mpaka kuoga sijui kuogeshana alafu unasema ham-flirt? That is pure flirting.

Babu na mjukuu ni utani, hata ile ya kijana/binti mkubwa na mtoto mdogo.
Nimeona kaniita, sasa nimejibu? (I loved it lakini. lol)
Can flirting go one way? au lazima iwe both ways?
 
Nimeona kaniita, sasa nimejibu (I loved it lakini. lol)
Can flirting go one way? au lazima iwe mutual?

Hahahahah. . . yani bado tu unatafuta pakutokea?
Nwy , YES it can. . .but only if the other party doesn't enjoy it and makes it clear.
 
Hahahahah. . . yani bado tu unatafuta pakutokea?
Nwy , YES it can. . .but only if the other party doesn't enjoy it and makes it clear.
So I am officially flirting with Ivuga... good.
Nimesha tafakari, ngoja nichukue hatua lol
 
.....dahhh.....naungama nimefanya flirting for fun na mdada mmoja mbele ya Soulmate wangu.

Naamini pamoja na maelezo yangu 'mazuri' ya nyongeza, bado nahisi hakufurahishwa na confession yangu....

Kwa unyuzi huu na maelezo ya RussianRoulette, nakuomba deepest apology ewe mahbouba....I didnt mean to disrespect you... MwanajamiiOne.... Upo wapi?

Ndo ukome na umbea ukuuishe jamaa navomjua hakuna msamaha
 
I think tulikua tunachukua kama utani tu. . .
Maybe somebody is getting hurt huko nje.

Yeahhh that's possible aisee. . .
Sema wengine ndo kama vile sana hawawajali sana wenzao!!
 
Yeahhh that's possible aisee. . .
Sema wengine ndo kama vile sana hawawajali sana wenzao!!
Kuna msemo unasema a knight cannot be more loyalist than the king...
But naacha kuanzia Monday. nicheze cheze kwanza weekend hii. lolest
 
With all the new ways we can communicate (JF, BBM, Skype, you name it) what is & isn't flirt is not clear anymore... Zamani, if you wrote a letter with sweet words to girl/boy other than your partner, it was cheating. Personally, I used to enjoy flirting. Lakini hivi I know I would not, no, NEVER, find it okay for my partner to be flirting with anotha man.On/offline.
 
He! mbona mkali sana kaka? pour some water in your wine...
Sasa kama yeye haruhusiwi ku-flirt, wewe unajiruhusu? au?
 
Lizzy, page fulani hivi haitaki kudisplay kwangu ila nimeona sehemu wataka kunipiga ngwala sijui...mbona I would love it.....unanipiga ngwara tunaanguka wote kisha tunaflirt....
 
Last edited by a moderator:
He! mbona mkali sana kaka? pour some water in your wine...
Sasa kama yeye haruhusiwi ku-flirt, wewe unajiruhusu? au?

Mwali, umemwona Lizzy sehemu? I am looking for her....i can see u just wisely advised her....thank you...would you mind some gin and tonic?
 
Last edited by a moderator:
Lizzy, page fulani hivi haitaki kudisplay kwangu ila nimeona sehemu wataka kunipiga ngwala sijui...mbona I would love it.....unanipiga ngwara tunaanguka wote kisha tunaflirt....

Utakuta kuna kijamaa kinasubiria kukudaka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom