Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
teh teh mafiga matatu......
Smile do the nid fulu basi ntafutie wa kuflirt nae....
teh teh mafiga matatu......
mmmh mbona @ mbu alikuwa anadai kama ni miezi mitano si ya kwake maana miezi yeye ishapita miezi minane toka walipoonana ... sijui ni wapi ngoja niwapige chabo tena
..............Naona mmeishiwa swaga za kuflirt khaa! hebu tuacheni msitusakame loh! Sie twawafagilia nyie mwatuumbua!
Hahahaha My Soulmate Mbu hebu njoo baba tupumzike barazani!
nipo na Kimey sasa
Hommie Kimey kama vipi we sepa tu......hapa pako bize sana...!
@Smile sio vema kumponza Kimey....ni ndugu yangu babe.....sipendi kichwa chake kiwe halali yangu!
Aisee!! sasa, Ngoja kwanza hommie.....! Ile Rule number 3 vp haiaaply hapa? yaani Sharing is caring na Kizuri kula na duguyo hommie!
babu upo?Mh! Huu mthread huu..... Eeh Mungu, wajukuu wote ulionipa sijambakiza hata mmoja!
Mh! Huu mthread huu..... Eeh Mungu, wajukuu wote ulionipa sijambakiza hata mmoja!
mmmh Kimey yupo attractive sana aisee au nikuache wewe?
????????????????????????????????? honey...............
Its me or zero babe.......simple.
Hommie jaribu kuondoa hizo kingo basi?