Flat screen ya ukweli mno

Flat screen ya ukweli mno

Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.

Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.

Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.

Mods, hebu tuondoleeni picha ya huyu dada humu jukwaani; kwa nini mnakubali umbile lake kuwa hoja? Nani aliomba kuumbwa jinsi alivyo humu ndani?

Vv

haya yote ni chachu ya maendeleo tulia kijana
 
Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.

Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.

Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.

na hao wenye flats ni mimi na miss chagga.. mshana jr ni mtani wetu, we uki mind kausha kimya kimya halafu pita hivi mkuu. wenye flats ndo kwanza tunakenua. usi panic bro
 
Last edited by a moderator:
Hii ni mbegu ya kihindi laivu, sijui nini kilikosewa hapa!
 
huyu ni binti bado mchanga hajakomaa kama redds miss bomba. ni kitu bado feesh sana. subiri azae mtoto mmoja mtamtani bure..
 
Back
Top Bottom