Halafu ni zile za kubandika ukutani extra slim
yani ningekukosa hapa ningejitundika na big G aisee.. ila nakwambia utani wa mshana jr umevuka mipaka.. yani huyu ni mimi alafu katupia pic yangu huku ndani
Ha ha ha pole
nipitishie bakuli niende China nikafanye implants na mimi mae
Huyu lazima atakuwa MANKA na hapo ni KISHUMUNDU Cc miss chagga
Flat screen ndio nini? Sijaelewa au ndio mnawatukana watoto wa watu. mnajua nyinyi mtazaa wa vipi?
Jukwaa limevamiwaMkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.
Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.
Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.
mtuache jamani.. kutwa wachaga
Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.
Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.
Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.
miss chagga huntakii mema we mwanamke.. shindwa na ulegee. hii hii pasi nakomaa nayo kama shilole na music wa bongo