Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

Maadam unatumia Internet nakushauri utumie Google kujua ubora wa kila moja. Sidhani kama mtu anazo zote tatu ili akupe uzoefu wake. Tutaishia kukushauri ununue zile tulizonazo!

Usisahau market segmentation. Mast of reviewers wanatoka europe na us. Wakat product zao na zetu zipo tofauti.
 
Nunua TV ambayo ni/ina:
1. HDMI port(s) hapa utaweza unganisha TV yako na other devices kama decoder, laptop, au home theater kwa kuangalia movies, soka etc
2. USB ports ambazo zinaplay video (all formats)
3. Iwe na decoder ndani (inbuilt decoder)
3. Iwe na power regulator ndani kwa ajili ya kuilinnda na umeme wetu mbovu
4. Audio output, ili uweze ku hookup TV na devices nyingine kama home theater/sub woofer au amplifier
5. Ikiwa LED itakuwa safi zaidi kuliko LCD au Plasma (madukani wanazijua)

MUHIMU: Nenda kwa authorized dealers wa products hizo kuepuka kuuziwa bidhaa fake.
 
Fuata ushauri wa huyu, hizo brand names ni majina ya biashara tu! Mwenye matangazo mazuri ndo atapata wateja wengi for that time ingawa inawezeakana isiwe na features nzuri kuliko bidhaa nyingine zilizoko sokon kwa muda huo
 
Hata mimi nasubiri hapa,yangu nikiangalia ina visehemu viwili vya HDMI ila sijui vinatumikaje.

Jf burudani sana.huyu ndo katoa ili wazo.nae kumbe haujui kitu.duuu hii kali
 
Wakuu nataka kununua smart tv 40'lakini bado napata tabu kujua ni brand gani na series ipi ndio yenye toleo zuri?
Naomba ushauri wenu wakuu.
 
nunua Sony ...techically ipo vizur sehem zote, hao wengine n makava tu ndan hamna kitu....ikizingua ndo bas tena
 
nunua tu Samsung Curve Smartphone inch 72 ni million 13 tu wala si ghali. hii utaenjiy sana ndugu yangu na bei yake si kubwa kama zile yngne za milllion 20 mpaka 30 . hii ya million 13 kibongo bongo si mbya. mi nlinunua yangu Mil 18
 
Back
Top Bottom