Mamaaae
Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri kwa sababu Sina uzoefu na uelewa wa TV hizi za kisasa , nimejaribu kufanya window shopping hizi ndo nimezishortlist Samsung,LG na Sony.
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wataalamu wa kila aina na hii tasnia najua wapo wa kutosha hasa kwenye resolution na other technical issues. Hivyo basi naomba kujuzwa ipi TV nzuri ili ninunue kitu chenye ubora .
Asanteni sana
Baba lao ni Sharp TV, then LG TV, Kisha Sony na Samsung wanafuatia kwa mbali.
Unasemea sharp hujakutana na toshiba wewe nchi 47 LED Ultra slim smart t.v
Habarini za wakati wana JF. Naomba mwenye kujua Tv nzuri ya flatscreen ya INCH 32 Aniambie!
bei isizidi laki saba.
Naomba pia specifications za tv nzuri kama hizo.
Asanteni woooooote. Christmas Njema!!!
laki 7 nyingi sana...chukua samsung LED...ni km 6 hd 6 na nusu hv...ina picha nzur sana...hutajuta....nawasilisha
Chukua Sony smart tv, led, curved 4K
Kwa hiyo budget hawezi pata TV yenye curved display au Curved mkuu.. Toa specific model number na inapopatikana kama vipi
Sony Bravia