Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

Asante great thinker wote!! humu humu nimepata mawasiliano na naona wengi wameshauri LED na sio LCD!! asanteni sana
nawasiliana na waliotoa namba!! :amen:
 
Nilichukua LG. Asanteni sana wadau kuniwezesha kujua soko lilivyo na ubora wa tv pia!!
 
Nimejipanga..nataka kuchukua hio tv niweke geto..naomba mwenye weakness za hizi tv anipe maujanja ili nisiingie chaka
 
pitia post za zaman.. hy mada ishajadiliwa sana na wadau... ila kwa msaada tu... chukua hy brand ipo vzr sana
 
Wakuu mngeweka na possible prices ili itusaidie na ss wengine..
 
Screen yangu ya LG imekufa lakini nasikia sauti. Imetokea baada ya kuinunua Mpya pale Mlimani city miaka kama miwili iliyopita. Nifanyeje?
 
Screen yangu ya LG imekufa lakini nasikia sauti. Imetokea baada ya kuinunua Mpya pale Mlimani city miaka kama miwili iliyopita. Nifanyeje?
Lazima ina warranty hiyo. Ipeleke ulikonunua haraka. Ulisaini form ya warrant?
 
Back
Top Bottom