Kwenye TV set za kisasa zina sehemu mbili za kuchomeka waya za picha na sauti kutoka kwenye deki/king'amuzi chako,kuna matundu ya waya za AV,yaani zile waya tatu,njano,nyekundu nya nyeupe zilizo pamoja hivyo kuna vitundu vitatu vya kuzichomeka toka kwenye king'amuzi chako ili uone picha nk.
Pia kuna sehemu ya kuchomeka waya mmoja tu wa HDMI (High Definition Multimedia Interface) yaani uangavu wa hali ya sana,picha inaonekana katika ubora wa hali ya juu sana. Hivyo kama unatumia TV set yenye HDMI port unanunua huo waya lakini lazima king'amuzi/deki chako pia kiwe na HDMI port ili uweze kuona picha katika ubora wa hali ya juu.
Mfano king'amuzi cha azamu ni HD(high definition),pia DSTV viko vya HD,ukiona king'amuzi kinaitwa HD ujue kina sehemu ya kuweka waya wa HDMI. Mfano kama unaangalia mpira kwenye king'amuzi cha DSTV kuna chanel zimeandikwa HD mfano super sport 3,2,5 nk,huwezi kuangalia HD chanels kama TV set yako sio HD.
King'amuzi kinaweza kua ni HD ila sio lazima chanel zilizomo ziwe HD, mfano Azam ni HD lakini hakuna hata chanel moja mule ni HD.
Nadhani umepata mwangaza.
Zote nzuri, hongera kwakuhamia digital, ununue na generator kabisa maana umeme wa bongo hauna garantii,
Samsung Ndo babalao.. ukipata ambayo ina receiver ndani pia ununue na waya wa HDMI
Samsung bomb bnaaa wewe ukiinunua unapata lunch na dinner kupitia TV yako !!!!!!!
Duu mkuu kuna screen ina receiver ndani? Ipoje? Nitaifahamu vipi? Ni sh ngapi kwa inchi 24?
Kwahiyo unamshauri nini mleta mada??
Sidhani kama alitaka tumwambie tunamiliki TV au kuichezea mpaka rangi itokomee.
Samsung inaking'amuzi kabisa,chanel za bongo unapata free
Samsung inaking'amuzi kabisa,chanel za bongo unapata free
HDMI cable ni waya unaopitisha picha High quality au HD kutoka kwenye tv kwenda kwenye king'amuzi au DVD.. ni lazima hivyo vitu vingine viwe na option hiyo ya HDMI.. waya huu ni mzuri sana na nitofauti na ule waya wenye pini tatu njano,red,na ,white... hdmi yenyewe iko moja tu kama USB vile... ni technolojia mpya inayoendana na flat screen hiz mpya...
pata picha una TV HD waya HD,Kingamuzi HD, channel unayotizama ni HD
nouma sanaaa ndo navyofanya hapa gheto
Azam decorder ina HDMI port?
Channels za Azam zile Internationals zina Quality Nzuri sana Kama Fine Living na Pia Azam Two,One Quality ya Picha ni Nzuri Sana,Je zikirushwa na Mitambo ya HD si itakuwa balaaa?
Zec mpango mzm