First years wa mwaka huu tuwaitaje?

First years wa mwaka huu tuwaitaje?

Kama unajua grammar, usage, na mechanics za Kiingereza basi utajua kuwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni hawaitwi "first years".

Jamaa hata kingera hajuiiiii...... afu hataki kukubali hakuna FIRST YEARS uwiiii mwache abaki na ujinga wake alio nao KUBWA JINGA HILO
 
Kuna kawaida kila mwaka first years kuwa na jina. Mimi mwaka 2005 niliitwa 'Tsunami'. Napendekeza waitwe 'Rasimu' au 'Bunge la Katiba' au UKAWA

Wadau mnasemaje?

Afu tukikwambia ndo iweje sasa??? mbna unapost vitu visivo na tija??
 
Jamaa hata kingera hajuiiiii...... afu hataki kukubali hakuna FIRST YEARS uwiiii mwache abaki na ujinga wake alio nao KUBWA JINGA HILO

Hebu jaribu tu kuitafsiri hiyo "first years" kwa Kiswahili halafu uone kama ina make sense.
 
Ndio watu wa namna hii wanaandika na proposal na reseach wanapata na vyeti
wanaajiriwa kwenye maofisi makubwa kumbe kichwani hamna kitu.

Jamaaa hajakuwa eti kiakili hadi leo karibia miaka 9 tangu hadu sahizi + umri wakeeee kazi.kweli kweli unaonaje tuka mwita huyi ni MPUUZI
 
Sijui hata tuaitaja vipi....hata ikitwa "miaka ya kwanza" haileti maana

hahaha kwajins mlivyo mwandama sijui kama atakuja kurudia tena hahaha mpuuuuuzi upon... !!!!!
 
Ndio watu wa namna hii wanaandika na proposal na reseach wanapata na vyeti
wanaajiriwa kwenye maofisi makubwa kumbe kichwani hamna kitu.

Bongo sio tamu wapuuzi.kama.hawa wanaenda kwenye interview eti wanataka ajira uwiiiii..
 
Jamaa hata kingera hajuiiiii...... afu hataki kukubali hakuna FIRST YEARS uwiiii mwache abaki na ujinga wake alio nao KUBWA JINGA HILO

kingera ndo nini mwenyewe sikijui
 
Duuuu kubwa zima hovyoooooooooo..... kumbe ma ww bado hujakua eeh una akili ya kiprimary ya kuitana majina ya kikudaaa uwiiiii.....afu eti we ni msomi.... itakusaidia nn ukiwapa first year jinaaa....kazi kweli kweli na wapuuzi wenzio wanakuunga mkonoooo kwenye ujinga ama kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasiiiii......sio mpaka ugongewe kengere ndo ujijue umekuwa yaani unakosa cha kufanya unatuletea mada ya kipuuzi kama hiii........na wanao kuunga mkono nao wapuuzi mm nilijua hizi tabia ni za 4m1 kumbe hadi huku juu

Dogo zima safiii
 
Back
Top Bottom