Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
- Thread starter
- #41
Tulia kijana. Huelewekialafu inawezekana Alisha maliza na chuo na kuajiliwa teari na hewa take kichwani
Tulia kijana. Huelewekialafu inawezekana Alisha maliza na chuo na kuajiliwa teari na hewa take kichwani
Haya ndiyo maswali yanayowafikirisha "wasomi" wetu?
Ndio watu wa namna hii wanaandika na proposal na reseach wanapata na vyeti
wanaajiriwa kwenye maofisi makubwa kumbe kichwani hamna kitu.
Haki ya mungu,
Yaani toka umeingia chuo mwaka 2005 akili haijakuwa tu?
Haki ya mungu,
Yaani toka umeingia chuo mwaka 2005 akili haijakuwa tu?
Ndiyo. Siasa zinachosha
Nilifikiri niliyeona hilo ni mimi tu.
Ahsante.
Haya mambo tulifanya Tambaza early nineties, kuwapa initiation rites "njuka".
Watu miaka yote chuoni bado wanapata "Jioni Kisomo's boner" over the name.of this years freshers.
Just goes to show how some peeps know how to waste processing power.
Nothing is serious here Comrade. Save your energy
Who said anything was serious?
I am saving more energy than a low watt bulb, but still shine brighter than a diamond.
Your misplaced and thinly disguised bully style condescension is what needs saving for more appropriate battles.
Katika akili yako maswali pekee ya kuzingatia ni ya siasa.
No wonder.
BTW, even for a comedic break geared at silliness, your wuestion.is wooden and uninteresting.
Something you get from a form two student at Tambaza, back in the nineties.
Yes Sir. Have a wonderful weekend!
So what? I know you are older than me
That is totally beside my point.
Your low watt bulb may very well have nothing to do with conservation.
Should I declare you a winner? Ha ha ha
Wanaitwa Freshers