First years wa mwaka huu tuwaitaje?

First years wa mwaka huu tuwaitaje?

Jamaa hata kingera hajuiiiii...... afu hataki kukubali hakuna FIRST YEARS uwiiii mwache abaki na ujinga wake alio nao KUBWA JINGA HILO

Kingera ndo lugha ya nchi gani?
 
Mmeamua tuu kumshupalia jamaa, yupo kwenye jukwaa husika kabisa…
 
Kuna kawaida kila mwaka first years kuwa na jina. Mimi mwaka 2005 niliitwa 'Tsunami'. Napendekeza waitwe 'Rasimu' au 'Bunge la Katiba' au UKAWA

Wadau mnasemaje?

kwa huu ujinga wenu ndo maana hadi mkiingia kitaa kuomba ajira mnakosa kwa sababu ya dharau, wanachukuliwa wenye experience, nyie mnachukuliwa kama first year katika ajila. Avatar mok saiv mwaka wa kwanza kanaanza kujichagulia jina
 
Last edited by a moderator:
Duuuu kubwa zima hovyoooooooooo..... kumbe ma ww bado hujakua eeh una akili ya kiprimary ya kuitana majina ya kikudaaa uwiiiii.....afu eti we ni msomi.... itakusaidia nn ukiwapa first year jinaaa....kazi kweli kweli na wapuuzi wenzio wanakuunga mkonoooo kwenye ujinga ama kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasiiiii......sio mpaka ugongewe kengere ndo ujijue umekuwa yaani unakosa cha kufanya unatuletea mada ya kipuuzi kama hiii........na wanao kuunga mkono nao wapuuzi mm nilijua hizi tabia ni za 4m1 kumbe hadi huku juu

na huyo mwanachuo katoa wazo
 
Back
Top Bottom