Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
- Thread starter
-
- #81
Nafahamu moja tu hapo.Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
ɦǟ ɦǟǟǟǟNafahamu moja tu hapo.
MA- Meals and Accommodation.
Zingine ngoja wajuvi waje
Allocation hyo ni ya Leo au iliyopita.?ɦǟ ɦǟǟǟǟ
Kuna Manzi wawili nimemaliza nao six mtakuwa pamoja HR huko Mbeya.ɦǟ ɦǟǟǟǟ
Second bado haijatoka hadi saiziAllocation hyo ni ya Leo au iliyopita.?
Upo chuo gani mkuu?Kuna Manzi wawili nimemaliza nao six mtakuwa pamoja HR huko Mbeya.
UDSM mkuu.Upo chuo gani mkuu?
Hongera mkuu, unapiga course gani?UDSM mkuu.
Naenda Bcom in Accounting. Vipi wewe mkuuHongera mkuu, unapiga course gani?
Anha, mzee wa UDBS! Pisi kali kama zotee[emoji23][emoji23]Naenda Bcom in Accounting. Vipi wewe mkuu
kama alidisco hivyo vyeti alipewa na dj au...??? 🤔Uli disco?
Pamoja sana mkuu, Mungu atupe nguvu tukapambane zaidiAnha, mzee wa UDBS! Pisi kali kama zotee[emoji23][emoji23]
Mimi UDOM- Laws.
Anha, mzee wa UDBS! Pisi kali kama zotee[emoji23][emoji23]
Mimi UDOM- Laws.
vilefu vyake sivijui ila kuna hela ya field hapo, stationary na special faculty.. utaelewa ukifika chuoWakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
Amen, Bless up![emoji110]Pamoja sana mkuu, Mungu atupe nguvu tukapambane zaidi
Wanakuja mkuu!Moshi Cooperative university waje hapa
Likewise, UDOM kuna wadau wangu wengi wanakuja hapo, sema watakuwa social science and humanitiesAmen, Bless up![emoji110]
MA- Meal & AccomodationWakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
Vizuri mkuu!Likewise, UDOM kuna wadau wangu wengi wanakuja hapo, sema watakuwa social science and humanities
Mdegree tapasomea tu. Ulikuwa Kozi gani hapo UDVizuri mkuu!
Nilikuwepo hapo UDSM miaka mitatu. Ningekufanyia orientation kabisa[emoji23]
Nakumbuka tulifungua zile hostel za magufuli, tukakumbana na expansion joints.
Kakaze buti mkuu, usiache kusomea pale "Mdegree".