First love. I miss you baby | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First love. I miss you baby

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Jul 13, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakuu wa jukwaa,

  Leo nimekumbuka pendo langu la kwanza kabisa tokea nilipofikia umri wa kupractice mapenzi. Niseme ukweli lilikua tam.Nilimpenda sana yule msichana, alikua mrembo, alikua mtiifu, mpole. Very ndo jina lake kwa kifupi. Mnene mnene kidogo, mrefu kiasi cha kawaida kwa mwanamke.

  Nilfurahi kuafall in love, nilijifunza mengi kwani ndio ilikua mara ya kwanza kupenda. pamoja na kua ndo nilikua form 2, eti iliwaza kuoa! Teh teh! kweli nilibambwa. Anyway siwezi kuelezea sana manake me sio mwandishi mzuri, ila leo nimemkumbuka VERYNICE wangu.

  maskini, tulipotezana baada ya yeye kuhama nchi na kwenda nairobi kusoma, kwa kua hatukua na sim kipindi kile tukapotezana kabisa hata kimawasiliano. ukweli ni kua sikupenda tena mtu hadi nilipofika chuo kikuuu mwaka wa kwanza.hapa nilipenda tena kwa mara nyingine tena siriasly, lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa kulipata penzi nililoangukia.

  Kwa hyo kama ni kua ktika mapenzi nimewahi kua mara 2tu, lakini kama nikufurahia mapenzi (sizungumzii ngono hapa) nimewahi kufurahiamara mojatu.

  Hivi wewe first love yako, ipo?ipo wapi?? vipi status yako na yeye?

  Asanteni.
   
 2. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,137
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Dah! We jamaa umenikumbusha mtoto Juliana aiseeee!!! Ndiye alinitoa tongotongo kuhusu mapenzi na mie ndie nilkata utepe mwanawani si mchezo acha za siku hizi za Kichina hata damu huioni!!!!

  Pili, nikiwa nimeanza kazi baada ya kutoka chuo nilifall kwa binti mmoja hivi (jina kapuni), nilimpenda vibaya!!! Nikatangaza ndoa kumbe mwenzangu ananing`ong`a aiseee sitakaa nisahau. Nikampeleka home wakamtambua na home wakaanza kujipanga kwenda kwao kutoa posa, ndo hapo binti alianza mauza uza. Mara hivi mara vile, wasiende kwanza mi bado mdogo, mila za kwetu mpaka dada yangu aolewe kwanza na visa kibaooo!! Nilikoma aliponionyesha live ana mwanaume mwingine, sikutaka mapambano ila nilimfata mbele ya jamaa yake na kumuuliza nini msimamo wake akanijibu 'sikutaki' tena kwa jeuri kubwa!! Mzee nikasepa, nililia sana chumbani kwangu siku hiyo sitasahau ila baada ya hapo machungu yakaisha na maisha yakasonga.

  Baada ya miaka mitatu alifanyiwa na mwanaume kama alivyonifanyia mimi, yaani jamaa lilijidai linamuoa likatoa mpaka mahari halafu likaoa demu mwingine ghafla!! Alidata serious, baada ya hapo akaanza kunitafuta nimsamehe ili turudiane keshajifunza na kutuma mpaka ndugu zake kwangu. Unajua ni nini? Sikuwa na mpango wa kuoa wakati huo, ila niliamua kuoa haraka haraka tena ndoa ya kifahari mbaya!!! Mpaka leo anajaribu kuivunja ndoa yangu aingie yeye coz anadai haoni mwanaume mwingine zaidi yangu ila kachemsha!!! Maisha yanamuona vibaya, umri unasonga, kazi hakuna, yaani anatia huruma but aliyataka nimsaidieje sasa???

  Hayo ndo maisha ya mapenzi tunayopitia mpaka kufikia kutulia
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahhahahahah Kijana Hizo za kichina ulizionea wapi jamani? ah na wewe mwingi kumbe!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Me cjawahi kupenda wala kupendwa so cna cha kuchangia..
   
 5. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaka pole sana, naweza imagine the diffculties u went by.
  pole mkuu.
  hata hivyo nafurahi kua sasa unafuraha na amani na ulie nae.
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sio ajabu, ni hisia hivi vitu.
  iko siku utapenda.lakini pia ni ukweli kua kupenda pia ni bahati.
  unaweza kua na kila kitu lakini bado usifall in love na ata the same time unatamani kua na mpenzi.
  kama ilivyo kwangu sasa!
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  daaah wewe jamaa umenikumbusha mtoto mariam ebwana eeeh. yani nilikuwa form one nami ka wewe eti nikawa nawazza kuoa aisee ilikuwa ajabu kweli. lakini nami ka wewe akahama na ndo ukawa mwisho wetu. uwa nikifikiria natokwa na machozi
   
 8. charger

  charger JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Current one anayajua hayo?
   
 9. S

  Shauri JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nimesoma wee lakini sijaelewa huyu anataka nni naona kama alikua anatoa mawazo yake tu,au kastor kake vile!
   
 10. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Lile ni bonge la xpirience, unavyanza kufall wala hujui
  unashngaatu umeanza kumfikiria, kila baada ya mda mfupi unamkumbuka halaf
  moyo unashtuka.ka upo barabarani basi ukikutana nae moyo unadunda kama umekamatw ukilamba sukari na mama.
  akivaa ngua fulani ndo kabisa! dah jamani mapenzi!! sitosahau siku aliponambia "tasia hata me nakupenda san toka siku nyingi sema tu nilishindwa cha kufanya"
   
 11. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hyo avatar yako ndo tatizo.
  wenzio wote waelewe na kuchangia wetu ndo usielewe??
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mimi nilishwahi kupenda, nikaoneshwa kwamba napendwa, baada ya muda nikatendwa..
  Nikajitahidi kusahau lakini moyoni mwangu bado nahisi kupenda, sasa nimerudiwa tena eti bado ninapendwa, ingawa bado napenda lakini moyo wangu unasita na siamini kama napendwa kweli au kuna jambo nyuma ya pazia. Kwa kifupi niko njia panda, i hate this feeling!
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  love is a game, the winner takes it all!
   
 14. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  First love? hahaha takes me back in 1983 then in std 7. first love had adored me and really wanted me and there was a getto somewhere where a friend of ours used to lived with his working brother. so the house close to our school was just there for us. and this first love had vowed to teach me a lesson manake najifanya sana kidume....kumbe kidume had not done it before by kwa mastory za hayo mambo was balaa! basi ikawa kama zile za tupinge...kidume nikatafuta namna ya kuchomoa nikashidwa....na fear washtakji wataniona ****...ikabidi nijikite huku macho yananitoka na roho inadunda....but i remember it to be one of the greatest and goshhhh what a voluminous come that was.....and the feelings were so great....first tym feelings, u'know mtu bado hujajua vizuri what it was and why it felt that way and had all your mind feelings it!

  hallo first tym lover, am sure i will never see you again....I met her lot of years later....kakondeana huyoo. am told she ended up being a bar maid and dont know if ARVs were luck to find her still alive....
   
 15. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hahaha! Hujipendi hata we mwenyewe? Mwee!
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  naipenda nafc yangu 2.
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  basi we utakuwa sio binadamu kamili.
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,688
  Likes Received: 82,553
  Trophy Points: 280

  Pole sana usikate tamaa labda nawe unaweza kubahatika. Kupendwa na kupenda ni experience ya aina yake na haina mfanowe duniani. Na ni kweli kabisa moyo unaenda mbio na pia unakuwa na furaha kubwa sana kila wakati una tabasamu la kufa mtu.
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wewe nawe incumbent anajua mchezo wako wa kulamba lamba?
  [​IMG]
   
 20. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  After reading various ponographic stories in this thread, I'm now convinced beyond doubt that our youth have been tracked off completely.
   
Loading...