First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

Fanya mazoezi mama, hata yale ya uwanja wa seremala(6×6) muhimu sana, au mzee wanamchosha sana kwa safari; mipangilio ya misosi(usishindilie mikuku ya ARVs). Huo mwili sio. Mitchell Obama na mazagazaga yote ikulu ya US, anaonekana ki-model.
Sipendi wanawake wembamba, yaani sipendi. Ebony ndio mpango mzima
 
Lakini unafahamu, kwa msaada wa bibi yake, Salma alifanya mapinduzi? Mpango mzima ulikuwa kwa rafiki yake na salma alikuwa shemeji. Samahan naishia hapa.

eh eh eh, kweli ishia apo...
 
Huenda alikuwa anakwenda kuhani msiba wa Balali maana toka amekufa na kuzikwa huko hatujawahi kusikia mkuu akienda kuitembelea familia yake huko kwa ajili ya kuhani na labda kutembelea kaburi lake

Aha hahahaha! Mkuu Asante sana kwa kuniongezea afya na pengine siku kwa kicheko! Unajua unafiki nao unawang'amuzi wake ikiwa ni pamoja na wewe kwa hili. Ni kweli Mkuu anavyojifanya mtu wa watu, anaenda USA mara nyingi, hivi kweli ameshindwa kutembelea familia hiyo na kisha akatuletea wadanganyika uongo wao juu ya hili!?!?
 
Kapendeza sana, black is a classic colour, she looks elegant...

Tena ametoka kwa uhakika kabisa na hata hiyo black, na wala haikukaa kimsiba ni choyo tu. Hebu na wamlinganishe na huyo first lady wao kichotara!

Hongera mama Salma wala usijali ya watu unapendeza hasa ukivaa mavazi hayo ya vitenge vya kiafrika.

Na wewe Tabby unayetaka mama Salma avae vikofia kama anakwenda kwenye send off au harusi sijui, vikofia na mwafrika wapi kwa wapi? Vaeni nyinyi munaopenda kuiga wazungu.
 
All I can say is Salma is pretty,she knows her body and she dresses in a comfortable way.if you have an opinion about colours please let it begin with you.
 
Mbona nyinyi mna tabia mbaya hebu wekeni picha zenu sana sana mtakuwa mmevaa vimini ndo mnaona ujanja
 
Salma mwili siyo mkubwa.
Suti ni sawa. Ila koti na viatu vingekuwa hata rangi ingine kama njano au nyeupe.
But kibongo bongo inatosha hivyo hivyo tu.
 
Kuweni na Dabu huyu mama hana maeno na mtu mbona mnamchokonoa.... huyo mama yenu kamwe hatakuja upata u first lady,, kwa nchi gani

We kweli boya sasa Ata kama ni mama yako huwezi mwambia mama Leo huja pendeza???na kwa taarifa yako Dr.Slaa anatinga mjengoni.vip katiba ya ccm haija kamilika tu???
 
Mbona nyinyi mna tabia mbaya hebu wekeni picha zenu sana sana mtakuwa mmevaa vimini ndo mnaona ujanja

Kusema ukweli huyo mtu anae mchagulia huyo mama mavazi ya kuvaa hamtendei haki hata kidogo kuna mavazi ya kuvaa kwenye misiba, harusini, ibada , na mialiko ya jioni huyu huwa wanamweka samba sinde.
 
Fanya mazoezi mama, hata yale ya uwanja wa seremala(6×6) muhimu sana, au mzee wanamchosha sana kwa safari; mipangilio ya misosi(usishindilie miku ya ARVs). Huo mwili sio. Mitchell Obama na mazagazaga yote ikulu ya US, anaonekana ki-model.

Mitchell??
 
Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa kifikra na akili....nina uhakika asilimia mia moja laiti kama nguo alizovaa mm Salma angezivaa mm Michelle and vice versa, Michelle angesifiwa katoka kiheshima na kiafrika na Mm Salma angeambiwa limbukeni kwa kuvaa kimagharibi....mtoa mada akili za kusikiliza wasiojitambua kama Ian uwe unachanganya na zako....
 
Kuna watu wana akili za funza ati avae simple kama Michelle Obama. . Mmeona alivo vaa ..vikwapa nje ... napenda sana mavazi ya 1st lady wetu .. ya heshima kujistiri yeye anatustiri watanzania wote

Mke wa mwanaume mwenzako akijisitiri anakuwa amekusitiri wewe?
Hahahahahha...akili ya ISIS.
 
Back
Top Bottom