First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

zama hizi misibani huvaliwa nguo nyeupe,na iliandikwa wapi nguo nyeusi ni za misiba? Suti je?,baibui.au ngozi za sisi waafrika(weusi) ni za msiba?
 
binafsi namupongeza alivyo vaa, kwani kwenda marekani kwa viongozi wetu ni sawa na kutangaza msiba, maana mikataba itakayo sainiwa huko, ni bogus treaty ambayo inakuja kuimaliza africa, hivyo alivaa vile makusudi coz alijua kinachofanyika huko ni zaidi ya msiba, naombeni tuomboleze kwa pamoja.
 
Napita tu na this message has been deleted by 1st lady wetu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Amevaa vizuri na amependeza sana. Kuna watu wana "alerge na rangi"
 
Halafu aliyewaambia rangi nyeusi ni ya msibani ni nani? Yaani waafrika mnakopi hata vitu vya kijinga, kikwetu hapa mama amependeza sana. Angevaaa nyeupe tungeuliza wanaenda kumzika nani
 
Fanya mazoezi mama, hata yale ya uwanja wa seremala(6×6) muhimu sana, au mzee wanamchosha sana kwa safari; mipangilio ya misosi(usishindilie mikuku ya ARVs). Huo mwili sio. Mitchell Obama na mazagazaga yote ikulu ya US, anaonekana ki-model.

puu.mbaa.vu wewe kuwa na heshima kwa our first lady, unasemaa??
 
Huyo Ian mwenyewe mwembamba kama hajala miaka kumi iliyopita, Ana tatizo la ubongo,
 
salma naye tangu agundue vitenge ndo imekuwa nongwa.
 
Back
Top Bottom