First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

Mi Tanzania ndivyo tulivyo yaani haijajua itakula nn kesho lkn iko mbele kuongelea kuvaa! Kuvaa ni kuusitiri mwili haya ya fasheni ni kwa punguani wa akili
 
Nyie watoto wa bavicha hamna adabu kabisa. Huyo ni kama mama yenu.
 
Kapendeza, yeye ni mama wa kiafrika. Hata mwili wake hautishi akivaa mavazi anapendeza. Tujifunze kukubali vya kwetu.. by the way huyo mama obama naona ndio alichemsha na hicho kivazi chake kiko wazi sana na anaenda ktk official gathering.
 
Mama Salma ni mzuri sana tena sana tu na angelikuwa anatia fora kama angelikuwa na washauri sahihi wa lishe, mazoezi na mavazi.

Sijawahi kuona kapendeza kama wakati mmewe anaanza kampeni za uraisi ingawa wakati ule hakuwa na confidence sana. Nakumbuka alitoka gazetini amevaa suti moja ya pink na kofia. Sijawahi kumwona tena kapendeza kivile.

Sasa anajaza mafuta, na kujikalia kama "wake za wafalme wa zamani, wala mazoezi inaonekana yako mbali", halafu anajirundikia mavitenge kama mbibi, anaharibu mpango wote. Ndiyo hizo comments. Kuna designers weengi mno Tanzania, asingeshindwa kupata mt wa kumdizinia vitenge vyenye mvuto, magauini, burauzi na skirt, safiiiiiii, badala ya kujifukia kwenye mitiindo inayomzidi umri na kumfanya aonekane wa kijijini.

She is cute. Hana ama hafuati ushauri sahihi wa lishe, mazoezi na mavazi.

ilo halina ubishi, mama Jk ni mzuri aisee, ila amekosea sehemu chache, mavazi ya kijijini na kuachia mwili...kama angepata mwanamitindo mzuri na mazoezi ya kujenga mwili, first lady wetu angetikisa uku chini ya jangwa la sahara na EA hakuna kama yeye, ila sasa kajiachia na mwili umeanza kukaa ovyo, mavazi utadhani mbibi, all in all JK alichagua kitu chenye mvuto kati ya vitu!!
 
Lakini unafahamu, kwa msaada wa bibi yake, Salma alifanya mapinduzi? Mpango mzima ulikuwa kwa rafiki yake na salma alikuwa shemeji. Samahan naishia hapa.

ilo halina ubishi, mama Jk ni mzuri aisee, ila amekosea sehemu chache, mavazi ya kijijini na kuachia mwili...kama angepata mwanamitindo mzuri na mazoezi ya kujenga mwili, first lady wetu angetikisa uku chini ya jangwa la sahara na EA hakuna kama yeye, ila sasa kajiachia na mwili umeanza kukaa ovyo, mavazi utadhani mbibi, all in all JK alichagua kitu chenye mvuto kati ya vitu!!
 
Semeni yooote ila Mama Salma ni mzuriii...tena anaonekana Mta.muu....

Rais anajua kuchagua..hongera zakeee....

Kama yeye kavaa kama anaenda msibani basi huyo JK na Obama ndo wanarudi huko msibani..

Tafuteni filamu ya Malcolm X then ndo mtajua the real definition of black and white....
 
Ila hawa jamaa ni ma-beka aisee!!!. Halafu first lady of the US na yeye ni Mwl wa grade A!!??

Wewe mburula, Michelle Obama sio mwalimu wa primary school ni Harvard Graduate!!
 
Nyie watoto wa bavicha hamna adabu kabisa. Huyo ni kama mama yenu.
wewe kwa akili ya kuku huwezi kuelewa kitu, humu kuna member wa kila sekta kwenye maisha yetu ya kila siku.

Huwezi kujua huyo mdau yupo huko kwenye ubunifu wa mavazi ndio maana amehoji hilo.
 
kuna kipindi nakiangalia kwenye television ya Kenya the citizen kipindi kinaitwa fashion watch hiki kipindi kilikuwa maalum kwa jinsi maraisi wa Africa na wake zao walivyovaa na jinsi walivyo pozi kwenye picha , moja ya ma judge alikuwa yule Ian ambaye huwa ana judge kwenye shindano la uimbaji la project fame nilijisikia vibaya pale waliposema kuwa first lady wetu amevaa kama anakwenda msibani huku wanacheka dah noumah kweli

Huo ndo ujinga wa waafrika hawamuoni huyo alievaa knight dress badala yake yule alievaa kiheshima ndo anaesemwa vibaya! hongera dada yetu mama Salma unaonyesha heshima ya mwaafrika! Masuala ya rangi sio kitu mbona hata hao wanaume wamevaa nyeusi?
 
ilo halina ubishi, mama Jk ni mzuri aisee, ila amekosea sehemu chache, mavazi ya kijijini na kuachia mwili...kama angepata mwanamitindo mzuri na mazoezi ya kujenga mwili, first lady wetu angetikisa uku chini ya jangwa la sahara na EA hakuna kama yeye, ila sasa kajiachia na mwili umeanza kukaa ovyo, mavazi utadhani mbibi, all in all JK alichagua kitu chenye mvuto kati ya vitu!!
Kwahiyo ulitaka avae mavazi ya mjini au?
 
Kuna watu wana akili za funza ati avae simple kama Michelle Obama. . Mmeona alivo vaa ..vikwapa nje ... napenda sana mavazi ya 1st lady wetu .. ya heshima kujistiri yeye anatustiri watanzania wote

sema anakusitiri wewe, siyo watanzania wote!
 
Back
Top Bottom