ki ukweli amependeza na nguo nyeusi c msibani tu na angevaa nyeupe je mbona nazo wanavaa msibani? isitoshe hata rangi ya ngozi yetu ni nyeusi nayo ni ya kuzikia? na viongozi waliovaa suti nyeuc nao wameenda kuzika? Acheni hizo.
Mama Salma ni mzuri sana tena sana tu na angelikuwa anatia fora kama angelikuwa na washauri sahihi wa lishe, mazoezi na mavazi.
Sijawahi kuona kapendeza kama wakati mmewe anaanza kampeni za uraisi ingawa wakati ule hakuwa na confidence sana. Nakumbuka alitoka gazetini amevaa suti moja ya pink na kofia. Sijawahi kumwona tena kapendeza kivile.
Sasa anajaza mafuta, na kujikalia kama "wake za wafalme wa zamani, wala mazoezi inaonekana yako mbali", halafu anajirundikia mavitenge kama mbibi, anaharibu mpango wote. Ndiyo hizo comments. Kuna designers weengi mno Tanzania, asingeshindwa kupata mt wa kumdizinia vitenge vyenye mvuto, magauini, burauzi na skirt, safiiiiiii, badala ya kujifukia kwenye mitiindo inayomzidi umri na kumfanya aonekane wa kijijini.
She is cute. Hana ama hafuati ushauri sahihi wa lishe, mazoezi na mavazi.
Yote haya una lenga kuwa mamaSALMA avae nusu uchi ndio utakuwa na furaha na hapo ndio ataonekana amependeza.
Siku nilipoona hii picha nikajaribu kujikumbusha labda kulikuwa na msiba walikutana kumbe ni picha ya juzi, hata Sheria Ngowi ange mshauri kama si kumshonea nguo ya kutupia huko,angevaa hata kama wa kimasai kama hakuwa na nguo nyingine inawezekana ni chafu maana safari ni nyingi na hazija kauka ikabidi atupiamoo.
Duuh bora Josephine angekua first lady yaan huyo mama salma kavaa utazani sangoma!
kuna kipindi nakiangalia kwenye television ya Kenya the citizen kipindi kinaitwa fashion watch hiki kipindi kilikuwa maalum kwa jinsi maraisi wa Africa na wake zao walivyovaa na jinsi walivyo pozi kwenye picha , moja ya ma judge alikuwa yule Ian ambaye huwa ana judge kwenye shindano la uimbaji la project fame nilijisikia vibaya pale waliposema kuwa first lady wetu amevaa kama anakwenda msibani huku wanacheka dah noumah kweli
Kuna watu wana akili za funza ati avae simple kama Michelle Obama. . Mmeona alivo vaa ..vikwapa nje ... napenda sana mavazi ya 1st lady wetu .. ya heshima kujistiri yeye anatustiri watanzania wote
Kwahyo wewe ndo una akili sana hadi kuita wenzio za funza kila mtu na mtazamo wake we ndo uyakuwa na uelewa mdogo