First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

First lady wetu alivyo vaa Us Africa summit

ugali dagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,280
Reaction score
1,127
kuna kipindi nakiangalia kwenye television ya Kenya the citizen kipindi kinaitwa fashion watch hiki kipindi kilikuwa maalum kwa jinsi maraisi wa Africa na wake zao walivyovaa na jinsi walivyo pozi kwenye picha , moja ya ma judge alikuwa yule Ian ambaye huwa ana judge kwenye shindano la uimbaji la project fame nilijisikia vibaya pale waliposema kuwa first lady wetu amevaa kama anakwenda msibani huku wanacheka dah noumah kweli
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    10.6 KB · Views: 4,941
Mwenyewe niliwaza hilo..nguo zimekaa kimsiba sanaa..mama kikwete anapendeza akivaa yale matenge yake ya rangi rangi..japo hata hii alipendeza ila imekaa kimsiba...
 
kuna kipindi nakiangalia kwenye television ya Kenya the citizen kipindi kinaitwa fashion watch hiki kipindi kilikuwa maalum kwa jinsi maraisi wa Africa na wake zao walivyovaa na jinsi walivyo pozi kwenye picha , moja ya ma judge alikuwa yule Ian ambaye huwa ana judge kwenye shindano la uimbaji la project fame nilijisikia vibaya pale waliposema kuwa first lady wetu amevaa kama anakwenda msibani huku wanacheka dah noumah kweli
Huenda alikuwa anakwenda kuhani msiba wa Balali maana toka amekufa na kuzikwa huko hatujawahi kusikia mkuu akienda kuitembelea familia yake huko kwa ajili ya kuhani na labda kutembelea kaburi lake
 
Ila hawa jamaa ni ma-beka aisee!!!. Halafu first lady of the US na yeye ni Mwl wa grade A!!??
 
mama yetu salma unawasikia majaili hawa achana nao. Hayo mavazi ya kimaghalibi ya vikwapa wazi wacha wavae wao wanaiga tamaduni za watu
 
Mama Salma ni mzuri sana tena sana tu na angelikuwa anatia fora kama angelikuwa na washauri sahihi wa lishe, mazoezi na mavazi.

Sijawahi kuona kapendeza kama wakati mmewe anaanza kampeni za uraisi ingawa wakati ule hakuwa na confidence sana. Nakumbuka alitoka gazetini amevaa suti moja ya pink na kofia. Sijawahi kumwona tena kapendeza kivile.

Sasa anajaza mafuta, na kujikalia kama "wake za wafalme wa zamani, wala mazoezi inaonekana yako mbali", halafu anajirundikia mavitenge kama mbibi, anaharibu mpango wote. Ndiyo hizo comments. Kuna designers weengi mno Tanzania, asingeshindwa kupata mt wa kumdizinia vitenge vyenye mvuto, magauini, burauzi na skirt, safiiiiiii, badala ya kujifukia kwenye mitiindo inayomzidi umri na kumfanya aonekane wa kijijini.

She is cute. Hana ama hafuati ushauri sahihi wa lishe, mazoezi na mavazi.
 
kwikwikwikwikwi mumewe alimsifia kapendeza chumbani halafu nyie mnamnanga hapa mmmh😛eep:
 
Fanya mazoezi mama, hata yale ya uwanja wa seremala(6×6) muhimu sana, au mzee wanamchosha sana kwa safari; mipangilio ya misosi(usishindilie mikuku ya ARVs). Huo mwili sio. Mitchell Obama na mazagazaga yote ikulu ya US, anaonekana ki-model.
 
kuna kipindi nakiangalia kwenye television ya Kenya the citizen kipindi kinaitwa fashion watch hiki kipindi kilikuwa maalum kwa jinsi maraisi wa Africa na wake zao walivyovaa na jinsi walivyo pozi kwenye picha , moja ya ma judge alikuwa yule Ian ambaye huwa ana judge kwenye shindano la uimbaji la project fame nilijisikia vibaya pale waliposema kuwa first lady wetu amevaa kama anakwenda msibani huku wanacheka dah noumah kweli

Kapendeza sana, black is a classic colour, she looks elegant...
 
Ila ni kweli mama Salma mzuri ila ma designer wake hawampatiagi mitindo hata kama ni vitennge mtindo huwa mmoja na juzi ndo kavaa nyeusi kabisa atafte designer mke wa Obama anavaaga simple na anapendeza tu
 
Duuh bora Josephine angekua first lady yaan huyo mama salma kavaa utazani sangoma!
 
Ukimpima Prezident na mkewe utakuta wana njaa ya miaka kadhaa.
Afanye mazoezi mama mzazi huyu shingo ionekane. Harafu avae "hijab" tehe tehe tehe
 
Siku nilipoona hii picha nikajaribu kujikumbusha labda kulikuwa na msiba walikutana kumbe ni picha ya juzi, hata Sheria Ngowi ange mshauri kama si kumshonea nguo ya kutupia huko,angevaa hata kama wa kimasai kama hakuwa na nguo nyingine inawezekana ni chafu maana safari ni nyingi na hazija kauka ikabidi atupiamoo.
 
Kuna watu wana akili za funza ati avae simple kama Michelle Obama. . Mmeona alivo vaa ..vikwapa nje ... napenda sana mavazi ya 1st lady wetu .. ya heshima kujistiri yeye anatustiri watanzania wote
 
Chuki @itsbest tunatawaliwa hadi mavazi angevaa pedo mngesema,kitenge ndo mnasema zaidi muda huo huo mnalaumu dada zetu kuvaa uchi ,which is which now?
 
Amevaa vizuri sana kwa heshima ya taifa letu na dini pia,ila rangi ya nguo(ni maoni yangu)
 
Kapendeza sana, black is a classic colour, she looks elegant...

Watu wengine nao wanauiga uzungu kupita kiasi, peruzi kwenye google uone wasanii mbalimbali wa kimataifa ambao ni mfano katika uvaaji wanavyopigilia nguo nyeusi pia katika matamasha makubwa.
Juzi tu hapa zilitoka picha za Kanye west na Kim wakiwa wamemechisha nguo nyeusi katika tukio. Hao watu wanaomshauri mama si wajinga kama mnavyodhani kumshauri mama avae hizo nguo.
 
Back
Top Bottom