Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,343
Aonekane kwenye picha!Sasa pinda anachungulia nini???
Uko sahihi kabisaUongo mbaya, Salma Kikwete is a really African First Lady. Sidhani kama ikulu iliwahi kuwa na First Lady mwenye muonekano wa kimama Afrika kama Salma. Pia rangi yake inampendeza na uvaaji wake unaendana na umbo lake.
Maria Nyerere alikuwa anaonekana kama wa majonzi saa zote, Siti Mwinyi huyu hata sura yake kwenye mambo ya kiserikali ilikuwa nadra, Anna Mkapa huyu muonekano wake ni usomi na mtu wa madili, lakini pia hata nguo hazimkubali sana.
Tukiachana na yale ya CCM, muonekano wa Salma ni wa heshima. Hongera kwa mpambaji na mbunifu wa mavazi yake. Nimesikia mara kadhaa wakina mama wakisema..'umetoka kama Salma Kikwete'
Picha ya kwanza na ya pili anataka kufanana na wewe.Peng Liyuan, wife of Xi Jinping, who's recently chosen to be China's top leadership post, is a famous singer in China, an WHO AIDS ambassador, as well as a major general in China's People's Liberation Army.
Mkuu Rutashubanyuma, I hope that is West African tradition, not Bongo.![]()
ON STYLE: BONGO TRADITION Vs. CHINESE GLAMOUR!
Mkuu Rutashubanyuma, I hope that is West African tradition, not Bongo.
Picha ya kwanza na ya pili anataka kufanana na wewe.
Absolutely.wenye uwezo wa kutuma posa tuwape ruhusa?
wenye uwezo wa kutuma posa tuwape ruhusa?
Mbona hujanipa credit kwa kukufananisha na huyo shin shu hadi ukaamua kubadili avatar.Brother Rutashubanyuma, Omugulusi, ameniwezesha upstairs, kiasi kwamba sishobokewi, I have a choice and Still young, can wait, so long as my plans are fulfilled.
Brother Rutashubanyuma, Omugulusi, ameniwezesha upstairs, kiasi kwamba sishobokewi, I have a choice and Still young, can wait, so long as my plans are fulfilled.