kamanda 85
Member
- Mar 29, 2013
- 29
- 4
Mwanamke kamanda wa ukweli utamfananisha na mama salma kikwete
Pinda anachungulia, anatafuta wa kupigaaa!!Sasa pinda anachungulia nini???
Huyu first Lady wa kichina ... NAHITAJI WHOLE FIGURE OF HER BODY BEFORE I MAKE MY COMMENTS .. thank you very much. sura ya usoni sio kila kitu, hasa kwa mila zetu za kiafrica.![]()
ON
STYLE: BONGO TRADITION Vs. CHINESE GLAMOUR!
Chezea chinese veve huyu ni mwana judo, carate, kick boxing, n.k. ukimtamani atakuvunja
shingo.
Sasa pinda anachungulia nini???
![]()
ON STYLE: BONGO TRADITION Vs. CHINESE GLAMOUR!
Sasa pinda anachungulia nini???
kweli huyu mama anatakiwa pongeziHapa kaka Kayanza kaonekana handsome. Nafikiri uzee unamjia vizuri. Hongera Tunu kwa kumtunza kijana wako.
![]()
ON STYLE: BONGO TRADITION Vs. CHINESE GLAMOUR!
wewe ndiyo unajua kuangalia sasa, shemeji yetu yuko vizuri bana huwezi kulinganisha na huyo mchina!
View attachment 169904