First Lady wa China, moto wa kuotea mbali

First Lady wa China, moto wa kuotea mbali

jf, ni raha sana jamani!!!!duh! hizo comments zenu wakuu mimi siku yangu iko poa kabisa hahahahahah!!!!!!!!!!

Acha uchoyo tubonyezee "likes" kama haya unayoyasema ni kweli. Yaani unafaidi maoni yetu kimyakimya tu!
 
kwakweli ni kifaa, anashinda na Mama Obama, Michelle
 
Aaaghy...
io photoshop tu bandugu ni'wakawaida sn uyu first'lady..
Tafuta hotuba ya Mumewe inaitwa Chinese Mission.

Acha wivu. Na wewe chukua basi picha ya yule mkeo mwenye sura kama alizaliwa makaburini tuone maajabu ya hiyo photoshop....hebu niondokee hapa.

Hivi wakuu, uraia wa China shingapi?
 
Chinas-First-Lady-Peng-an-008.jpg

Ok mimi sijaona tofauti maana huyu Mama naye angekuwa mweusi asingemkuta Mama Salma Kikwete hasa katika mashavu
Najua wanaume mnaangalia rangi ya ngozi
Km JKT Salma naye kapitia hakuna kilichompita maana hiyo SAR kaishika licha ya SMG

Tofauti ni kwamba huyu mmoja ni KAMANDA na mumewe HAANGUKIANGUKI MAJUKWAANI. Au we akili yako iko kwenye sura tu? Hovyo!
 
Jenerali Firstlady Balozi Mwanamziki Mama Jingping........Mwalimu,Firstlady,Mwenyekiti muuza sura, Mama JK
 
Nimekuwa naangalia ziara ya Kinana Mzee wa Nyara...naona wachina na chama chao wanasisitiza sana nidhamu,uadilifu,kuna makatibu wengi sana wa nidhamu na uadilifu....
Kama kweli tungefuata mfumo wao hasa wa kutokomeza ufisadi,kuandaa warithi wa urais na uongozi kwa jumla!sidhani kama kungekuwa na rushwa kwenye kugombea nafasi ndani ya vyama.....au kuwekana ndugu woote kwenye siasa bila hata utaratibu na wala kuendesha kampeni ya chama kwa familia moja,na wala wafanyabiashara wasingeteka siasa ya nchi sababu ya mapesa yao....na wao kuamua hatma ya nchi kwa mapesa yao machafu!


Ogopa binadamu, pamoja na kukulia kwenye maadili huko kwao bado wanaongoza kwa u.....fake fake. Binadamu lazima achungwe ukimpa nafasi imekula kwako. Never never trust anybody, never on earth!
 
Hapa kaka Kayanza kaonekana handsome. Nafikiri uzee unamjia vizuri. Hongera Tunu kwa kumtunza kijana wako.

Mkuu Whisper nimecheka hadi machozi, kaka kayanza kaonekana hendsom, huh..😀😀😀😀😀
 
Kweli Niliingia Google kumcheki enzi za ujana wake alikuwa balaa ..murembo
AcT3DKqUj5WtAAAAAElFTkSuQmCC
 
Tofauti ni kwamba huyu mmoja ni KAMANDA na mumewe HAANGUKIANGUKI MAJUKWAANI. Au we akili yako iko kwenye sura tu? Hovyo!
Hovyo mwenyewe huyo aliyeanguka Bafuni huko Mwanza ndio unamuona wa maana nenda kaolewe nae km unaona Mhaya hamtoshi ukome kabisa achana na mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom