First Lady wa China, moto wa kuotea mbali

First Lady wa China, moto wa kuotea mbali

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,952
Reaction score
939
Peng Liyuan, wife of Xi Jinping, who's recently chosen to be China's top leadership post, is a famous singer in China, an WHO AIDS ambassador, as well as a major general in China's People's Liberation Army.

 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    26.8 KB · Views: 2,194
  • image.jpg
    image.jpg
    53.1 KB · Views: 2,213
  • image.jpg
    image.jpg
    25.4 KB · Views: 1,605
si mchezo, time now to Go to JKT and choose my wife
 
Aaaghy...
io photoshop tu bandugu ni'wakawaida sn uyu first'lady..
Tafuta hotuba ya Mumewe inaitwa Chinese Mission.
 
Kumbe ni Kamanda
Safi sana nadhani na First Lady
wa Tanzania kwasasa atapelekwa JKT.
 
Chezea chinese veve huyu ni mwana judo, carate, kick boxing, n.k. ukimtamani atakuvunja shingo.
 
Nimekuwa naangalia ziara ya Kinana Mzee wa Nyara...naona wachina na chama chao wanasisitiza sana nidhamu,uadilifu,kuna makatibu wengi sana wa nidhamu na uadilifu....
Kama kweli tungefuata mfumo wao hasa wa kutokomeza ufisadi,kuandaa warithi wa urais na uongozi kwa jumla!sidhani kama kungekuwa na rushwa kwenye kugombea nafasi ndani ya vyama.....au kuwekana ndugu woote kwenye siasa bila hata utaratibu na wala kuendesha kampeni ya chama kwa familia moja,na wala wafanyabiashara wasingeteka siasa ya nchi sababu ya mapesa yao....na wao kuamua hatma ya nchi kwa mapesa yao machafu!
 
Mpwa umejuaje kama huyo wa china sio natural? Kila cheupe kwako sio natural? hahahahaa acha uchokozi Mpwa wangu
The TZ first lady is natural and beautiful. I like her, she represents well the Tanzanian women.
 
vipi pale Magogoni hapana Gym jamani? Mbona Mama nanihiii kajiziajazia sana nyama shingoni? Halafu namuona kaka Petro anakula chabo kwa mbali hapo

Gym ya nini na wanaumme wenyewe tunataka wowowo?
 
Sasa pinda anachungulia nini???

babu kwenye suruali naye si anachunguliachungulia kama atabahatisha mlo wa kichina? Kizazi chetu ni kizazi kinachohusudu uasherati.
 
Mpwa umejuaje kama huyo wa china sio natural? Kila cheupe kwako sio natural? hahahahaa acha uchokozi Mpwa wangu
Mkuu nimesema hivyo kumlinganisha na wanawake wengi wa wa viongozi waandamizi serikalini,too much make up bro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom