First Lady umesahau ulikotoka?

First Lady umesahau ulikotoka?

Hivi mama Salma ana uwezo wa kubadilisha hali ya Walimu?
Just kwa kum'mshauri mume wake tuu au kuna njia njingine?
Nafananisha na ule wimbo wa 'Riziwani ongea na mshua'
 
enyi waalimu nani aliye waloga,,,,,as.....usingekuwa ugoigoi wenu nchi hii ingeshakombolewa,,,pale mlipoonyesha dalili za uthbutu ,,,,,ilionekana nuru,,,,,piganen vita ya haki elimishen uma na wenzenu,,,,sio kulialia kwa wake za watu,....namuunga mkono yule dc aliyewachapa akakomalia,,,mesege sent,,,,
 
hawa walimu inabidi tuwape za uso mana wamezidi! Kila siku kulalamika lalamika hawachukui hatua yoyote, wanategemea huruma ya mama Salma! Kila mtu aipiganie nafsi yake waige mfano kwa Madaktari.

WeWe ulishaacha ualimu?kama kumbukumbu zangu ziko sawa ulifanya diploma ya ualim butimba.
 
Mbona anapokujaga huko mashuleni kumuuzia mumewe sera hamumpagi vidonge vyake!? Kazi yenu ni kufunga watoto"wanafunzi"vibwebwe na kuwaambia wamwimbie nyimbo za kumpongeza! Nyie walimu nyie kinachowatesa ni uoga na unafiki.

Hii nimeipenda. Haka kasimu katochi hakana likes
 
nakumbuka kabla jk hajawa jk, mama chalma alikuwa mwalimu pale sinza. Kila mwisha wa mwezi,tulipigana vikumbo wilayani kugombea mishahara. Najua kabisa, hali ile hakuipenda, maana ni hatari kwa walimu na ulikuwa ni usumbufu mno. Wakati mwingine walikuwa wanasota kwa masaa kibao, ikibidi kurudi siku ya pili hadi ya tatu kabla hawajapata mishahara yao
sasa mama umekuwa first lady kwa miaka 7, umefanya nini kuwasaidia walimu wenzako? Je unafahamu vijijini wapo walimu hawajalipwa kwa miezi kadhaa? Chondechonde mama yetu, tufikishie ujumbe kwa baba, ikiwezekana siku yake ya kuzaliwa mpelekee sinia tupu bila ya keki.
Baba akiuliza nini hii tena,
mwambie "imepita zaidi ya miezi miwili, sijalipwa mshahara wangu?
Baba akiuliza mshahara gani?
Mama tafadhali mjibu, mimi ni mwalimu, umesahau?
Baba riz anaweza kuelewa somo, na kutoa msaada kwa walimu wetu

subiri wamalize mgao wa rada ...watwakumbuka nimesikia hela zote wanpeleka kwenye elimu
so omba mungu wagaiane mapema na kusiwe na kutokuelewana ngapizipelekwe elimu usiwe na shaka wengine tuna maombi kwa mungu toka mwaka juzi we miez 2 tu
 
Nakumbuka kabla jk hajawa JK, Mama Chalma alikuwa mwalimu pale sinza. Kila mwisha wa mwezi,tulipigana vikumbo wilayani kugombea mishahara. Najua kabisa, hali ile hakuipenda, maana ni hatari kwa walimu na ulikuwa ni usumbufu mno. Wakati mwingine walikuwa wanasota kwa masaa kibao, ikibidi kurudi siku ya pili hadi ya tatu kabla hawajapata mishahara yao
Sasa Mama umekuwa First Lady kwa miaka 7, umefanya nini kuwasaidia walimu wenzako? Je unafahamu vijijini wapo walimu hawajalipwa kwa miezi kadhaa? Chondechonde mama yetu, tufikishie ujumbe kwa baba, ikiwezekana siku yake ya kuzaliwa mpelekee sinia tupu bila ya keki.
Baba akiuliza nini hii tena,
mwambie "IMEPITA ZAIDI YA MIEZI MIWILI, SIJALIPWA MSHAHARA WANGU?
Baba akiuliza mshahara gani?
Mama tafadhali mjibu, Mimi ni mwalimu, umesahau?
Baba Riz anaweza kuelewa somo, na kutoa msaada kwa walimu wetu

AAaaa kesha kuwa mwanasiasa siku hizi huyo atakupiga porojo tu ualimu upo kwenye sanduku la vitabu
 
walimu mpaka mtakapo badilika ndiyo mtafaidi haki yenu kwa kuendelea kumchekea nyani (CCM) mtaendelea kuvuna mabua! Uchaguzi ukifika mnasema zimwi likujualo sasa cha moto mnakiona!

Kwa kweli bendera yetu nzuri.
 
Mbona anapokujaga huko mashuleni kumuuzia mumewe sera hamumpagi vidonge vyake!? Kazi yenu ni kufunga watoto"wanafunzi"vibwebwe na kuwaambia wamwimbie nyimbo za kumpongeza! Nyie walimu nyie kinachowatesa ni uoga na unafiki.

Hahahah!me napenda Angel Msoffe bhana,koment nzuri nzuri
 
hata kama mlipigana nae vikumbo kumbuka yeye ni first lady, na si waziri wa fedha wala si waziri wa elimu.......... Hata katiba haimtambui ....atawezaje kuingilia hayo majukumu???? Au unataka kusema mke wa raisi ni raisi?
 
ashibaye hamjui mwenye njaa hata kama mtatoa machozi hii ndio ccm bwana.(kudadadeki)!!! source lusinde uchanguzi arumeru
 
Sijui ujumbe umefika? Wacha tusubiri birthday ya rais hapo October inawezekana keki isiwepo!
 
Walimu wana Chama chao na Rais wa Chama. Kama Chama chao kimeshindwa kuwatetea walimu ambao wanalipa michango kutoka kwa mishahara yao kila mwezi, unategemea First Lady afanye nini!
 
kwanza anamuda basi wa kuongea na mume wake mana huyo mume wake kila siku yupo nchi za watu muda ataupata wapi wakuongea na mume wake
 
Walimu ni Pumbavu sana Maana kama nafasi Miaka mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu wanapewa shavu la ajabu sana nalo ni Kusimamia Uchaguzi je Mmeweza kuthubutu au ndo Mnakumbuka Shuka Saa Mbili asubuhi.

Kudadadeki zenu Walimu! Mimi naona sawa tu kwani sijaona watu Mazoba kama ninyi maana Akili zenu ni kama Mzee aliyetaka kurudi ujanani wakati ana Miaka 150.

Kweli ninyi ni Wajinga wa Mwisho Kudadadeki, maana ninyi kama ni Pumbavu basi Miaka Mitano ikiisha fanyeni tena Upumbavu wenu kwenye Masanduku ya Kura!

Kudadadeki zenu! Makalio yenu kama ya Lusinde ninyi walimu! Kudadadeki.
 
Woga na unafiki una sababu. Wanauma na kupuliza kwa sababu wengi hawana sifa za kuwa walimu in the first place. Wakikazania kuuliza mshahara watadaiwa kupeleka vyeti! Wengi wao ni aibu tupu. "Usile na kipofu ukamkamata mkono" Serikali ni kipofu, hawataki kuishika mkono.

Mween, Unataka walimu wawe na vyeti vya aina gani ili uwatambue? Mimi ni mwalimu na kwa sasa ninafanya masomo ya shahada ya uzamili. Kuna wenye PhD pia. Tatizo siyo vyeti Mween, tatizo ni mfumo!
 
KING COBRA III nimeipenda sana hiyo. Tena napenda kuwakumbusha kwamba hata kura zao walishaambia hazihitajiki
 
Kwel baba ridh anavyopenda naniii akinyimwa anaweza kutangaza nyongeza ya mshahara mpya kwa maticha.nanyie maticha uwoga umewazidi ndo maana jk aliwaita mbayuwayu
 
Mween, Unataka walimu wawe na vyeti vya aina gani ili uwatambue? Mimi ni mwalimu na kwa sasa ninafanya masomo ya shahada ya uzamili. Kuna wenye PhD pia. Tatizo siyo vyeti Mween, tatizo ni mfumo!

we umebahatika, walimu wenzako wengi wameshajizira na wamekata tamaa, wanategemea kudra za mungu, wameridhika na nafasi walizopewa za kukopa mikopo finyu, milioni 2 unakopa? Aibu ilioje...kapangwa chaka kashatotoa wawili au watatu,mkewe/ mumewe mwl. Pia, elimu ndogo majukumu yamemzidi...mshahara huo mdogo ni kama roho yake.....katu hawezi fikiria mabadiliko yaani ni typically mwanakijiji..kuanzia elimu yake, mavazi yake, makazi yake, akili yake na matumizi yake.
 
Woga na unafiki una sababu. Wanauma na kupuliza kwa sababu wengi hawana sifa za kuwa walimu in the first place. Wakikazania kuuliza mshahara watadaiwa kupeleka vyeti! Wengi wao ni aibu tupu. "Usile na kipofu ukamkamata mkono" Serikali ni kipofu, hawataki kuishika mkono.
Naomba ndugu unapotoa comment humu uwe umefanya uchambuzi yakinifu
sikatai kwamba hakuna vyeti feki vipo lakini si vingi ukilinganisha na zamani
umesema eti wanaogopa kwa jili wengi wana vyeti feki.si kweli hata kidodo
kwani serikali kama inawanyima walimu haki eti kwa kuwa wengi nana
vyeti feki?kwanza pass mark ya kwenda ualimu ni ngapi mpaka uropoke
ivyo?walimu nisekta iliyopunguziwa sana pass mark zake ili walimu wawe
wengi so wakitaka kufanya strike itakuwa kubwa tu,kwani wenye vyeti
feki ni wachache ukilinganisha na wengi wenye vyeti.so usiwe unaropoka tu!
 
Back
Top Bottom