First lady Regina ndani ya Arusha Mjini

First lady Regina ndani ya Arusha Mjini

Ningekuwepo lazima ningeenda na mama pamoja na mdogo wangu kumsikiliza First Lady wetu Regina japo kura zetu ni za mumewe tayari.
 
Ww ndo ninahisi unamtindio wa ubongo,ww mwenyew hapo ni mgonjwa ss shida nn?unashinda kweny mahospitali kila siku kwamba hufanyi shughuli nyingine?mbona makuful. mgonjwa huyo hamsemi?kila mtu anamna yake ya kuongea,kuna chiriku,wa kimya na wengine waongeaji wastani,ikilijua hlo hutatoka povu hapa ukidai lowasa hawezi kuhutubia
 
Huu uzi utawagusa sana magama maana mziki wa regina ni sheeeda
 
Lowasa alipendekeza wagombea wote wakapime damu kubwa! yeye yupo tayari na majibu yawe wazi, si mnajua push-up nyie! Twende mshipa mkubwa tuangalie afya genuine!
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

ya mungu makubwa, wewe ni mzima leo lakini huenda ukafa hata kesho ukamuacha huyo mgonjwa akiendelea kupiga kampeni.
aaaaaaaa.jpg
 
[h=2]Kampuni ya waisrael yatoa mafunzo ya kikomando kwa walinzi binafsi wa lowassa[/h]
Taarifa za uhakika zimevuja zikieleza kuwa Kampuni ya MAX SECURITY SOLUTION ya nchini Israel imelipwa milioni 450 za Kitanzania kwa ajili ya tenda ya kuwapatia mafunzo ya ulinzi wa viongozi, walinzi binafsi wa mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndugu Edward Lowassa.
Mafunzo hayo yanayoongozwa na Mwalimu wa Kiisrael aliyetajwa kwa jina moja la Shaul yanafanyika katika nyumba iliyoko maeneo ya Mbezi Beach. Baadhi ya vijana ambao wanaendelea kupokea mafunzo hayo ni pamoja na: Evance Benno Munembuka anayetumia namba ya simu ya mkononi (0717 291 979), Keneth Kunambi (0767 838 218, 0716 838 218), Yohana Sitta (0789 918 088), Buhimira Golani Mboje maarufu Spencer (0757 200 002), Kombo Mohamed (0717 030 311) na Saimon Chamila (0752 882 462).
Wengine ni Ramadhani Magambo (0719 230 945), Msila Kombo (0713 746 181), Edward Iteba (0754 209 323), Johnstone Malunda (0758 758 183), Josephat Sosphter (0765 073 135) na Mussa Burhan (0786 185 881). Wanyetishaji wamezidi kueleza kuwa miongoni mwa mafunzo ambayo vijana hao wamepewa ni pamoja na namna ya kutengeneza ‘uzio’ wa kumzunguka Lowassa akiwa katika halaiki ya watu, ulinzi wa gari lake, jinsi ya kutembea na kiongozi kwenye msongamano wa watu, namna ya kuwasiliana na namna ya kumuokoa kiongozi wao inapotokea ‘hatari ya ghafla’.
Hata hivyo, imezidi kunyetishwa kuwa, walinzi hao wanaokaa kwenye Hoteli ya B & B ya Mikocheni huku wakilipwa shilingi laki tano kwa mwezi, wameambiwa wawe ‘tayari hata kutoa roho ya mtu’ iwapo mazingira yataruhusu.
Ingawa haikuelezwa iwapo kuna hatari yoyote ambayo wanadhani inamkabili kiongozi wao na kwanini tahadhali hiyo isitolewe kwa Jeshi la Polisi iwapo kuna tishio kubwa kama hilo, wanyetishaji wanasema kuwa kambi ya Lowassa imejiapiza kuwa vyovyote iwavyo ni lazima waingie Ikulu.
Apson Mwang’onda, mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ndiye anatajwa kuwa msimamiaji mkuu wa suala zima la kuletwa kwa wakufunzi hao wa Kiisrael huku walinzi hao wa Lowassa wakipokea maelekezo moja kwa moja kwa kiongozi wao anayetajwa kwa jina la Aloyce Patrick Tendewa.
Ni wazi kuwa taarifa hizi ni muendelezo wa taarifa za awali zilizowahi kuripotiwa na baadhi ya magazeti na mitandao ya jamii kuwa katika moja ya mikakati ya muda mrefu ya Lowassa, ni kuandaa kundi la vijana wa kufanya fujo katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kulinda kura ifikapo Oktoba 25, mwaka huu.
Tayari zipo taarifa kuwa wapo, pia, vijana ambao wamepelekwa maeneo mbali mbali nchini na wengine nchini Rwanda, kwa ajili ya mafunzo ya ‘kuwaweka fiti’ ili wawe na uwezo wa hata kusababisha maumivu makubwa ya kimwili na hata uharibifu wa mali kwa wapinzani wao, hususan wale watakaoonekana kuwa ni kikwazo kwa harakati zao za kuingia magogoni.​
 
Wamama na wasichana wote wanaojielewa watakaohudhuria wamshauri Regina Lowasa kuwa amshauri mumewe Lowasa aache siasa aende hospitali kutibiwa badala ya kwenda ya kwenda kwenye majukwaa ya siasa kwa hali ile aliyonayo.

Wakimshauri hilo watakuwa wametenda haki kama wamama na wasichana wanaojielewa.Vinginevyo wasipofanya hivyo nao nitawaona vichwa vyao vimejaa maji na mbege tu.

We ni q...ma kweli mama yako ndo aende hospitali
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Daktari wake hajatoa ushauri huo; ukanjanja haukupi kura kapande majukwaani utangaze sera
 
[h=2]Kampuni ya waisrael yatoa mafunzo ya kikomando kwa walinzi binafsi wa lowassa[/h]
Taarifa za uhakika zimevuja zikieleza kuwa Kampuni ya MAX SECURITY SOLUTION ya nchini Israel imelipwa milioni 450 za Kitanzania kwa ajili ya tenda ya kuwapatia mafunzo ya ulinzi wa viongozi, walinzi binafsi wa mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndugu Edward Lowassa.
Mafunzo hayo yanayoongozwa na Mwalimu wa Kiisrael aliyetajwa kwa jina moja la Shaul yanafanyika katika nyumba iliyoko maeneo ya Mbezi Beach. Baadhi ya vijana ambao wanaendelea kupokea mafunzo hayo ni pamoja na: Evance Benno Munembuka anayetumia namba ya simu ya mkononi (0717 291 979), Keneth Kunambi (0767 838 218, 0716 838 218), Yohana Sitta (0789 918 088), Buhimira Golani Mboje maarufu Spencer (0757 200 002), Kombo Mohamed (0717 030 311) na Saimon Chamila (0752 882 462).
Wengine ni Ramadhani Magambo (0719 230 945), Msila Kombo (0713 746 181), Edward Iteba (0754 209 323), Johnstone Malunda (0758 758 183), Josephat Sosphter (0765 073 135) na Mussa Burhan (0786 185 881). Wanyetishaji wamezidi kueleza kuwa miongoni mwa mafunzo ambayo vijana hao wamepewa ni pamoja na namna ya kutengeneza ‘uzio’ wa kumzunguka Lowassa akiwa katika halaiki ya watu, ulinzi wa gari lake, jinsi ya kutembea na kiongozi kwenye msongamano wa watu, namna ya kuwasiliana na namna ya kumuokoa kiongozi wao inapotokea ‘hatari ya ghafla’.
Hata hivyo, imezidi kunyetishwa kuwa, walinzi hao wanaokaa kwenye Hoteli ya B & B ya Mikocheni huku wakilipwa shilingi laki tano kwa mwezi, wameambiwa wawe ‘tayari hata kutoa roho ya mtu’ iwapo mazingira yataruhusu.
Ingawa haikuelezwa iwapo kuna hatari yoyote ambayo wanadhani inamkabili kiongozi wao na kwanini tahadhali hiyo isitolewe kwa Jeshi la Polisi iwapo kuna tishio kubwa kama hilo, wanyetishaji wanasema kuwa kambi ya Lowassa imejiapiza kuwa vyovyote iwavyo ni lazima waingie Ikulu.
Apson Mwang’onda, mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ndiye anatajwa kuwa msimamiaji mkuu wa suala zima la kuletwa kwa wakufunzi hao wa Kiisrael huku walinzi hao wa Lowassa wakipokea maelekezo moja kwa moja kwa kiongozi wao anayetajwa kwa jina la Aloyce Patrick Tendewa.
Ni wazi kuwa taarifa hizi ni muendelezo wa taarifa za awali zilizowahi kuripotiwa na baadhi ya magazeti na mitandao ya jamii kuwa katika moja ya mikakati ya muda mrefu ya Lowassa, ni kuandaa kundi la vijana wa kufanya fujo katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kulinda kura ifikapo Oktoba 25, mwaka huu.
Tayari zipo taarifa kuwa wapo, pia, vijana ambao wamepelekwa maeneo mbali mbali nchini na wengine nchini Rwanda, kwa ajili ya mafunzo ya ‘kuwaweka fiti’ ili wawe na uwezo wa hata kusababisha maumivu makubwa ya kimwili na hata uharibifu wa mali kwa wapinzani wao, hususan wale watakaoonekana kuwa ni kikwazo kwa harakati zao za kuingia magogoni.​

Hivi ccm wanategemea tuwachague kwa majitaka kama haya?
 
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Karibu mama nyumbani
 
kekuwetu hamna updates ,hamna picha ndiyo maana Hawa vijana wa JM kutoka kitengo cha IT-masaki wamepata nafasi ya kutusi tusi humu.
 
Last edited by a moderator:
Siyo vizuri kujadili hali ya afya ya mtu.Hayo ni mambo ya ALLAH pekee na anaweza badilisha wakati wowote apendao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom