Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,302
mnajivunia goli la mkono hamna lolote.....mxiiiuuuuuu
Bi mkubwa nakumbuka ulinieleza hapa kuwa wewe na familia yako mtawapigia kura hao hao jamaa wa goli mkono...
Iweje tena unawazodoa...?
mnajivunia goli la mkono hamna lolote.....mxiiiuuuuuu
Ndoto za mchana.
Siku ile nilikuwa nimeikasirika tu ila sasa hivi udiwani na ubunge nawapaBi mkubwa nakumbuka ulinieleza hapa kuwa wewe na familia yako mtawapigia kura hao hao jamaa wa goli mkono...
Iweje tena unawazodoa...?
Siku ile nilikuwa nimeikasirika tu ila sasa hivi udiwani na ubunge nawapa
Watu mnapenda kuota mchana kweupe....
Hatuwezi kuongozwa na chama kinachofuata matakwa ya baba mkwe na mkwe wake.
Hao watabaki kuwa wapinzan milele.
El hawezi kuja kuongoza nchi yoyote hapa dunian labda atakuja kuongoza huko kuzim
Mama ana roho mbaya huyu hamna mfano. Madereva waliowahi kufanyakazi nyumbani kwake akiwa mke wa waziri mkuu wataniunga mkono.
Weee Faiza Fokisi sijui ukoje?badala ya kuungana na watanzania walio wengi kumuunga mkono ndugu yetu muungwana Lowassa unakazania madongo na kuwafuata wapumbavu.Ndoto za mchana.
kijana mm sina chuki ila naongea ukweli ambao upo.
Ila nyinyi nawaona wengi mnaongelea kiushabiki na sio ukweli uliopo
Siku ile nilikuwa nimeikasirika tu ila sasa hivi udiwani na ubunge nawapa
Hahaha...basi sawa
So now roho nzuri maana wewe no MunguMama ana roho mbaya huyu hamna mfano. Madereva waliowahi kufanyakazi nyumbani kwake akiwa mke wa waziri mkuu wataniunga mkono.
Hawi first lady ng'o
nguti mmanyafu ghweehhh......yaani unataka tuendelee kuongozwa na wanafiki kama kikwete wanajifanya maarosto wanatoka madarakani wameshakuwa mabilionea,nasisi hatu wapi ccm tena nchi yetuansee! Ansee! Ndumyana magufuli atatufikisha mbali sana,, lakn huyo babamkwe wenu na mkwe wake wapiga dili hao ni wa kuogopwa..
Hvi hamjiulizi tu? Mtu anatumia mabilion yake kuwanunua watu hadi chama ili aende ikulu hamjiulizi kuna nn hasa?
Hatuwezi kumruhusu mtu wa aina hyo ashike nchi
Si yeye si Lowasa hawana muonekano.
Hao hata wafanye nini Ikulu wataenda kama wageni waalikwa tu.
Wanaliwa pesa zao na wachagga.
Sasa naamini Mmasai na Mmeru yeyote hana ujanja kwa Mchagga.
Usicheze na CHAGADEMA. Hapendwi mtu ila pochi yako, chezea bilioni 12 wewe? Slaa mzee wa watu hana hamu na hiyo SACCOS ya Mtei.