First Lady- 2016

First Lady- 2016

Mwalimu wa chemistry Ilboru (Mama Lowassa) vs. Mwalimu wa shule msingi Mbuyuni (Mama Magufuli).
 
We ndo umechelewa kweli...tuliopo mtandaoni tunaishi mbinguni??? Katibu mwenezi wako alishaona mwaka huu mbombo ngafu ndio maana akawazia hata goli la mkono we kiroboto tu unatokwa povu hapa.....kama jambazi mbona hamkumfunga?? mwaka huu mtaharisha sana

fanya tathmin au utafiti kwanza, tatzo mnajifariji sana kwa mambo ambayo hamyawezi..
 
natamani ningemuona enzi za usista duu wake.
 
Watu mnapenda kuota mchana kweupe....

Hatuwezi kuongozwa na chama kinachofuata matakwa ya baba mkwe na mkwe wake.
Hao watabaki kuwa wapinzan milele.

El hawezi kuja kuongoza nchi yoyote hapa dunian labda atakuja kuongoza huko kuzim

ilatuwe kwenye chama kikongwe kinachofata matakwa ya mtoto na mama yake kwa kile wanacho kitaka,Kikwete kaiharibu ccm imekuwa ya wajingawajinga na kiota cha majungu
 
Mtanyooka tu
 
ilatuwe kwenye chama kikongwe kinachofata matakwa ya mtoto na mama yake kwa kile wanacho kitaka,Kikwete kaiharibu ccm imekuwa ya wajingawajinga na kiota cha majungu

ansee! Ansee! Ndumyana magufuli atatufikisha mbali sana,, lakn huyo babamkwe wenu na mkwe wake wapiga dili hao ni wa kuogopwa..

Hvi hamjiulizi tu? Mtu anatumia mabilion yake kuwanunua watu hadi chama ili aende ikulu hamjiulizi kuna nn hasa?

Hatuwezi kumruhusu mtu wa aina hyo ashike nchi
 
Kazuri kanafaa kuwa frst lady 2040
 
Attachments

  • KKK.jpg
    KKK.jpg
    7.6 KB · Views: 298
kijana mm sina chuki ila naongea ukweli ambao upo.
Ila nyinyi nawaona wengi mnaongelea kiushabiki na sio ukweli uliopo
una mtindio wa ubongo...ndo maana huwezi kuelewa wa ku fill ushetani wa CCM...nakuchukia kwa niaba ya watanganyika na wazanzibar
 
beautiful onyinye. jimama la mikorogo la kihaya tupa kuleee!
 
una mtindio wa ubongo...ndo maana huwezi kuelewa wa ku fill ushetani wa CCM...nakuchukia kwa niaba ya watanganyika na wazanzibar

mkuu wala usihangaike kunichukia mm..
Ww wachukie waliokuleta dunian,
yawezekana hawakukuweka kwenye system inayotakiwa.
 
Back
Top Bottom