Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,015
- 46,787
walipoiba mafuta au kupiga misele isiyo rasmi na gari la mama?
Mnafahamiana kwahiyo mnaelewana na mnaelewa kile mnacho jibizana hapa .
walipoiba mafuta au kupiga misele isiyo rasmi na gari la mama?
goli la mkono wapi? Ukweli ni kwamba mnaonesha ushindan kwenye mitandao lakn mmesahau kuwa kuna mitaani, vijijini n.k.
Mbaya zaidi mmejiharibia yule mliyekuwa mnawita mwizi,jambaz na watz wakawaamin kwa kuanika uovu wake leo hii ndiyo Mungu mtu wenu ambaye mnamtegemea kuwaletea ushindi.
Hapo ndo mmejiharibia kabisa.
Tuonane oct
Huyo mama mzuri kweli aisee.
Hakika Lowassa alichagua.
Kama huwezi kutafakari kwanini mpaka dakika hii utetezi ule haukujibiwa na wahusika basi utapata BP huko mbeleni.goli la mkono wapi? Ukweli ni kwamba mnaonesha ushindan kwenye mitandao lakn mmesahau kuwa kuna mitaani, vijijini n.k.
Mbaya zaidi mmejiharibia yule mliyekuwa mnawita mwizi,jambaz na watz wakawaamin kwa kuanika uovu wake leo hii ndiyo Mungu mtu wenu ambaye mnamtegemea kuwaletea ushindi.
Hapo ndo mmejiharibia kabisa.
Tuonane oct
nguti mmanyafu ghweehhh......yaani unataka tuendelee kuongozwa na wanafiki kama kikwete wanajifanya maarosto wanatoka madarakani wameshakuwa mabilionea,nasisi hatu wapi ccm tena nchi yetu
Dada FaizaFoxy u mzima? Mbona unaonekana kuwa na uhakika sana?
Kwani Magogoni ina hati ya CCM tu? Ngoja msije shangaa kapi lenu hilo hilo likawapiga kikumbo asubuhi saa nne...
What an exciting election!!!
Mnafahamiana kwahiyo mnaelewana na mnaelewa kile mnacho jibizana hapa .
Na Lowasa ni masikini, katoka hana fedha, na hata ugombea hajaununuwa huko chagadema?
Vipi daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kawa shetani?
Mnayaota madaraka? mtayaona kwenye magazeti tu.
Magufuli for President.
dada umepanic hata post yangu hauja isoma vizuri
Sikiliza kijana, hata Mbowe anajuwa hakuna Urais, kalamba mshiko wake hata waliotoka nae mbali, walioufungwa nae waliokula nae marungu, waliopuliziwa moshi wa kuwasha daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa hakumjali.
Mchagaa kaona aaaaahhhhh, nisikose yote, Urais tuukose na fedha nizikose? kajilambia zake hana wasi wasi anacheka cheka tu.
Unafikiri kwanini daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kanuna?
Kazi ipo!!
Kajisome tena halafu uone nilichokujibu, nnaona ulio panic ni wewe. Unaongelea mabilionea waliotoka madarakani lakini aliyetoka ni Lowasa umemsahau una haha na waliopo madarakani.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sijui kwanini mnajisahaulisha habari ya goli la mkono
pipooooooooooooooooo
Sijui kwanini mnajisahaulisha habari ya goli la mkono