Fire Drill yazua kizaazaa PPF House | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fire Drill yazua kizaazaa PPF House

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Apr 16, 2010.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Wadau mliopo Town... Tunaomba mtujuze kuna duru zimetujuza kuwa PPF House inaungua Jengo hilo lipo katika makutano ya Samora na Morogoro Rd.
  Doh mbona moto kila mahali sasa...
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mazee kila kwenye zali wewe upo!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Washa CCM (chukua chao Mapema) ukiona hivyoooo
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  zenji ni mbali masanilo, huu yuko mjini humo humo
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nipo Sinza mbele yangu kuna ka-TUSKER Bariiiidi...
  Ha ha haaaa Sipo CBD ila kuna jamaa kanambia kuwa Masela wanajitahidi kuomba ruhusa ya kuingia huko kuokoa mali na roho lkn Manjata wanawazuia bwana...
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nimeongea na mdogo wangu anayefanya kazi pale PPF ni simulation ya fire oubreak in case ikitokea so jengo halijaungua ila ni mazoezi tu wakuu.
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Afadhali... Pia kwa Dar (Tanzania) mioto mingi haswa ya kusababishwa na hujuma hutokea jioni/usiku...
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna Precision na speed boat mazee! Lini tena Estonia?
   
 9. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Haya mazoezi mbona hatuyaoni katika nchi za hawa wenzetu huku?
   
 10. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mananilo huo mti unaumwagia kila siku mbona haukui...
   
 11. F

  FM JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ni jambo jema mbaya nini tukilifanya?? Au ndo kila kitu lazima tudese?? Wabongo Bwana, tukidesa uvivu wa kufikiri; tukibuni vyetu oooh hata ulaya haipo!!! kazi kwelikweli
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Leo ni ijumaa. Ijumaa ni mwanzo wa wikend
   
 13. M

  Mlugaluga Member

  #13
  Apr 16, 2010
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa maeneo ya katikati ya jiji niliona magari ya kuzima moto na Ambulance za Ultimate Security yakielekea huko, pia gari la fire la jiji limeonekana likielekea huko. Inaelekea waliwahi mapema, labda kwa kuwa ni karibu na City fire station na pia karibu na base za Ultimate Security.
   
 14. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa mazoezi nawapa hongera ila ukitokea moto wa kweli hawaonekani na wakija inakua ushahidi tu baada ya jengo kuteketea.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mti wa kichina huo mazee!
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Wajanja washabeba nyaraka wakaamua kulipiga moto!
   
 17. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,885
  Likes Received: 20,963
  Trophy Points: 280
  mkuu,huku ninakobeba mabox hio kitu ni kila mwezi na ni lazima.lazima watest fire alarms,doors,fire extinguishers na evacuation procedures,kama hufanyi siku moto ukitokea na ikagundulika labda fire alarm haziku-go off watu wakifa ni manslaughter kesi hio
   
Loading...