Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Hongera sana, niliitaman sana 12pro max lkn mimi sio mpenzi wa sim kubwa nikaaishia 12pro , naenjoy balaaa usiku sina haja ya flash sahv ni kutake maphoto tu kwa wingi
 
Personally simu ya mwisho kutumia ilikuwa iPhone 7, then nikarudi samsung kwasababu flani flani, I think nitaenda kwa iPhone 12 mini japo battry lake linanipa mashaka ila nimesoma review inaelekea siyo mbaya simu iko well customized
Umecheck review ya gsmarena? Battery lake ni baya kweli. Iphone 12 ni much better.

Kuhusu ukubwa iphone 7 ipo kati ya 12 mini na 12. Hivyo ukinunua 12 mini itakuwa ndogo kushinda iphone 7 na 12 itakuwa kubwa kidogo.
 
Hongera sana, niliitaman sana 12pro max lkn mimi sio mpenzi wa sim kubwa nikaaishia 12pro , naenjoy balaaa usiku sina haja ya flash sahv ni kutake maphoto tu kwa wingi

12 pro ni kubwa mkuu karibu ilingane na 11 pro max. Hangera sana.
 
Kwa uzoefu wangu sijawahi zaidi ya hapo, chaji za ziada ni kama ya posta ambayo ni ndogo sana max 5900.

Na hio kodi inategemea wameamka vipi kuna siku unapewa tu mzigo wako

Kwa wale tunaotaka mzigo chap chap ndo tunabamizwa si ndio?
 
Umecheck review ya gsmarena? Battery lake ni baya kweli. Iphone 12 ni much better.

Kuhusu ukubwa iphone 7 ipo kati ya 12 mini na 12. Hivyo ukinunua 12 mini itakuwa ndogo kushinda iphone 7 na 12 itakuwa kubwa kidogo.
Thanks for the tip, mkuu ngoja nicheck bei ya 12 if I can afford it bila kuwaza sana basi itabidi ni opt kwa hiyo, maana ninataka simu ambayo nikinunua nitamaliza miaka 2-3 sijanunua simu nyingine unless ipotee au waibe
 
Haitofautiani sana mkuu
 
Mkuu si unaona price hazitofautiani sana.
 
Hivi nitakujaga kumiliki smartphone mimi kweli?! sijui asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…