Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Mkuu Usa hakuna Midrange za maana Nyingi, unapata Motorola na samsung kwa wingi kule. Chukua redmi note 9s kenya Hapo, kwa hio budget unapata mpaka ile version ya 128GB na 6gb ram.Mkuu kwa 500k unanishauri ninunue simu gani?
Mkuu Usa hakuna Midrange za maana Nyingi, unapata Motorola na samsung kwa wingi kule. Chukua redmi note 9s kenya Hapo, kwa hio budget unapata mpaka ile version ya 128GB na 6gb ram.
kama una mtu unamfahamu akununulie, avechi walikuwa wanatuma, ila wadau naona wanasema haziji. jaribu kuwasiliana nao avechi,Mkuu kama Una mawasiliano nao ya Jamaa wa Kenya naomba
kama una mtu unamfahamu akununulie, avechi walikuwa wanatuma, ila wadau naona wanasema haziji. jaribu kuwasiliana nao avechi,
Contact Us - Avechi Kenya | Online shop for smartphones and electronics
Phone Support Contact our customer service team via phone or whatsapp on: 0701 10 10 10. Visit us Pioneer House, Moi Avenue (above Quickmart Pioneer) 4th Floor Shop 402, Nairobi Business Hours Mon to Fri: 8am to 7pm, Saturday: 8am to 6 pm, Sunday & Public Holidays: Closed Our FAQs Get an answer...avechi.com
ila kwenye faqs zao bado wanaonesha wanaship Tanzania
Hongera mzee baba.
Mambo ya tech raha sana ukikimbizana nayo.
kama priority ni battery subiria Galaxy A02 inakuja muda si mrefu, battery kubwa na bei chini ya laki 3.mkuu nahitaji sumsung galaxy m30 nmeona ina betri kubwa,naomba ushauri na bei zake kwa kuagiza na hata hapo Dar
kama una mtu unamfahamu akununulie, avechi walikuwa wanatuma, ila wadau naona wanasema haziji. jaribu kuwasiliana nao avechi,
Contact Us - Avechi Kenya | Online shop for smartphones and electronics
Phone Support Contact our customer service team via phone or whatsapp on: 0701 10 10 10. Visit us Pioneer House, Moi Avenue (above Quickmart Pioneer) 4th Floor Shop 402, Nairobi Business Hours Mon to Fri: 8am to 7pm, Saturday: 8am to 6 pm, Sunday & Public Holidays: Closed Our FAQs Get an answer...avechi.com
ila kwenye faqs zao bado wanaonesha wanaship Tanzania
1.7milioni ?,kwaajili ya simu?.Sawa mkuu,ngoja nikomae na Tecno WX3 yangu.Mkuu umeagiza nje? Umeipata kwa bei gani maana mimi jana nimecheck iphone 12 mini kwa hapa Tanzania ikaja 1.7 mil nikaghair
hii inakuwaje chief?nawezanikashop amazon nikaship kwao kwa bei Hiyo?Wana service inaitwa ship and shop $15 kwa kitu cha chini ya nusu kilo.
Kha!kha!,Mamaaaa!!!!,Pesa ya kununulia kiwanja hiyo.Hii 12 pro Max nimeinunua around 4.2M
lady gagaHiyo lipstick ya akina Kardashian?
naona wanatumia DHL sijaona option nyingine.Tumia fedex au aramex mkuuu au hawana hizo option? Naona eBay wana shiping options nzuri
Yap, na ili kupunguza gharama unaweza ship vitu vingi vyepesi kwa wakati mmoja, mfano hio lipstick ni gram 100 unaweza agizishia piece 3 zote zikafika kwa gharama ile ile,hii inakuwaje chief?nawezanikashop amazon nikaship kwao kwa bei Hiyo?
nilitaka lipstick amazon shipping cost ikaja 93$