Finally Huawei E303 unlocked

Jaribu kuweka screen short ili tuone firmware yake. mfanii check hapa chini, inakuwa rahisi kukusaidia.

Kama hii Mkuu?? sina exatly software kama uliyo tumia hapo

289kg3p.jpg
 
Kama hii Mkuu?? sina exatly software kama uliyo tumia hapo

289kg3p.jpg

sawa nimeona, ila firmware yake naona haijabadilika, ni 21.157.71.00.94. hiyo firmware unayosema jamaa aliweka Firmware Version 23.00, naona haijabadili chochote kwani bado ipo na ile ya kwake ambayo ni 21.157.71.00.94.
umeshajaribu ile ya blackpanther?
 
Nope sija jaribu, nasema hivyo maana Kwenye file la kimox kuna ile UTPS23.001.07.04.910_MAC23.001.07.04.910 Hii ndo ilikua flasshed kabla ya Default Airtel after that Firmware za 21.00 zlikua znakataa kuingia zote, nielekeze nijaribu hiyo ya Blackpanter.
 
Mkuu tatizo lipo wapi muulize kama nimemuomba chochote zaidi ya kumsaidia tu,umeleta tatizo lako umeshindwa saidiwa hapa au kila kitu lazima uandike uonekane upo MTZ
Mkuu kuna wanaandika ili na wao waonekane wamechangia lakini pumba tupu. Sikuona tatizo katika hilo huo ni uelewa wake tu.
 
Inakubali vizuri kabisa, fuata tu maelekezo hapo juu!!

Error Code:19, Update failed
2d2ipeh.jpg

Look at this;
Device
Device name: E303
Application port: COM4
Serial number: U9C7SA92C0727505
IMEI: 868988014167032
Hardware Version: CH2E303SM
Firmware Version: 21.157.71.00.94(Nadhani hii ndo tatizo maana za voda zina 21.157.31.**. )
Software Version: 23.001.07.29.910
 
....

4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version

NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.

....
!!

Mkuu, mimi nimefuata hatua zote na nilipofika namba 4 nikaweka line ya tigo kwenye modem kisha nikaingiza modem kwenye computer na ikaanza kupiga kazi kama kawaida, sasa hicho kipengele cha ku-unlock tena hapo kwenye NB yako kwa hapa kwangu nafanyaje au ndo imetoka hiyo? Tafadhali niweke sawa ili nipumue maana nina wasiwasi kua itagoma tena (labda)
 
Hapana, ondoa wasiwasi haitagoma tena, iko poa
 
msaaada Huawei e303 HIlink hv Hiyo Ina unlokiwa vp maana driver zake haziwi installed
 
Dah mkuu hiyo nilifanikiwa kuiunlock juzi kati hapa sema pc imenifia na maujanja yote yalikuwamo humo

Mkuu Naomba Ufuatilie Hlooooo!! maana Imenzingua Sana !! ila Yang counter imekua ziroo!! Sjui Tunafanya vp??
 
Una-assume kwamba kila anayepitia post kama hizi ni fundi na mtaalam kama wewe. Wengine sisi hatuelewi jinsi ya kufanya hizo unlock unazozisema, kwa hiyo tunaona ni madudu tu, tunapotezea.

Ungekuwa unaandika maelezo ya hatua kwa hatua, kuwaelimisha watu nini maana ya "unlock" na hizo "firmware", ungekuwa na msaada kwa watu wengi zaidi, kuliko hao elitist wenzako.

Ni ushauri tu. Ukiupenda ufanyie kazi, ukiuchukia upotezee!
 
pole xana mkuu bt kwa usahuri zaidi ni bora ukapitia google or other search engine to find what u want to know cz kiukweli hata mimi nilianza hivyo nilivyotaka kujifunza hivi vtu cz kuanza kuomba explaination za kila kitu humu i kuwachosha watu tu xo back to search ukielewa hivo vitu rudi utaona every thing is simple 2 u!
ASANTE..
 
kila e303
ina unlockiwa,
hivyo hvyo kwa ku upgrade firmware haijalish ni hilink

umeeahtumia HIlink ww??? nivema ungekua umeiona ndo unijibu..... dashboard updater na firmware updater znatumia COM ports kufanya kaz ... hz HIlink hazitumii kitu hyo... dashboard yake inafunguka kama tab ya browser..

katika ku google nlifanikiwa kupata adress moja hv ukiipaste driver znajiinstall still pc ilishndwa kusoma Moderm ipo com port gan.... firmware nnayo tayar kasheshe n jins ya kuiweka
 
mie nina modem yangu ya airtel E153 inakataa ku unlock maanake lile file la huawei modem flash lina terminate failed
 
Back
Top Bottom