Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Naona mambo bam-bam...........!!!!! Idumu JF
i need yOUR HELP MKUU
AIRTEL E 173
IMEI862910017603785
plzz direct me how to config i have neva try
Kwa inshu ya Modem E303c niliweka kwanza indian firmware, nikaitoa nikaweka Default Airtel Firmware, nikai-unlock kwa kutumia Huawei Code Writer, baada ya hapo nikaiupdate dashboard kwa version ya Mobile Partner v23 yenye 3 skin
hii haunahaja ya ku-unlock download "join air" and install it halafu fungua na u-create connection ni simple.
mkuu hii mordem hii ya k3565 Rev 2 sio ZTE ni Huawei zile za ZTE ndio zinatumi join air hizi za huawei zinatumia mobile partner tatizi hii mordem ipo customized firmware natafuta firmware update ili niweze kuiflash@BinMgen
Off topic Inabidi nikigongee like fatma... Nadhani we.ndio first lady wa hili jukwaa... Sijaona shory anayeshinda jukwaa la tech zaidi yako... Yaani hata kule kwenye mapenzi na chitchat huonekani...
Haya wakuu mwageni mautundu..
mkuu tumwagie hiyo link ya india firmware Kimox Kimokole
Fatma Bawazir nimekukubali dada, tazama first post nimeupdate mkuunikweli mkuu yani haya mambo nnayapenda sana yapo kwenye damu natamani kujua mautundu mengi sana ila mambo ni kidogo kidogo ni kujifunza tu hakuna aliye zaliwa akawa anajua kilakitu bali ni bidii ya kujifunza tu
uzuri ni kuwa hizo link nilizoweka (Firmware na Dashboard) zinafanya kazi kwenye PC na Mac OSX
vipi kuhusu ku-unlock hii Huawei E172 ya Airtel mbona nimejaribu ku-update firmware imegoma lakini nimeweza ku-update dashboard.
kama hujui kaa kimya,,hakuna kisichowezekana bana. ngoja waje wajuzisahau hilo
vipi kuhusu ku-unlock hii Huawei E172 ya Airtel mbona nimejaribu ku-update firmware imegoma lakini nimeweza ku-update dashboard.
Unlock Huawei E172
Download Huawei E172 Dashboard (Windows)
Download Huawei E172 Dashboard Update
Download Huawei E172 Firmware Update
Download Huawei E172 Driver
haya kazi kwako mi sijaijaribu jaribu ulete majibu
Kwanza hiyo K3565 ni ZTE sio HUAWEI. Hivyo huwezi kutumia firmware hii.
Nimekujibu kwenye PM yako uliyonitumia na links Fatma
Wakuu kuna modem za huawei K3565 na zinafanana hivyo hivyo kama ZTE ni kwamba ZTE walikopi kila kitu kwa Huawei.