Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock
Huawei E303 lakini sikuiona.
Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni
Vodacom E303 nimeweka
Airtel firmware kisha nikai-unlock
halafu nika-update Dashboard.
Sasa nakula line zote na speed safiiii. Modem hii ina uwezo wa 7.2MB
UPDATES:
Naona PM zimekuwa nyingi ngoja niweke hapa kila mmoja
afaidi uhuru wa Kusurf kwa modem ya nini kujibanabana
Mkuu download kwanza FILE HILI (link ni yangu kwenye 4shared)
Jinsi ya kufanya kwa E303
1. Pata kwanza Unlock Code na Flash Code ya Modem yako E303 kwa kutumia IMEI yako
hapa
2. Kisha Install software ya Modem yako kwa software iliyomo sasa hivi ndani ya modem kama bado hujainstall.
3. Update firmware yako kwa kuinstall
Airtel Default Firmware (haiko locked ipo ndani ya rar. folder ulilodownload), hapa utahitaji kuingiza
Flash Code
4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version
NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.
Dondosha THANKS au Like kama imekubamba
Tafadhali usifanye kwa biashara, its my upload on 4shared
Kwa wale wenye Modem za Vodacom K3570-Z au K3571-Z tumia njia hii
Kimox the Instructor
Thanks!!