Finally Huawei E303 unlocked

Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona.

Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock
halafu nika-update Dashboard.

Sasa nakula line zote na speed safiiii. Modem hii ina uwezo wa 7.2MB

UPDATES:

Naona PM zimekuwa nyingi ngoja niweke hapa kila mmoja
afaidi uhuru wa Kusurf kwa modem ya nini kujibanabana

Mkuu download kwanza FILE HILI (link ni yangu kwenye 4shared)

Jinsi ya kufanya kwa E303

1. Pata kwanza Unlock Code na Flash Code ya Modem yako E303 kwa kutumia IMEI yako hapa

2. Kisha Install software ya Modem yako kwa software iliyomo sasa hivi ndani ya modem kama bado hujainstall.

3. Update firmware yako kwa kuinstall Airtel Default Firmware (haiko locked ipo ndani ya rar. folder ulilodownload), hapa utahitaji kuingiza Flash Code

4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version

NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.

Dondosha THANKS au Like kama imekubamba

Tafadhali usifanye kwa biashara, its my upload
on 4shared


Kwa wale wenye Modem za Vodacom K3570-Z au K3571-Z tumia njia hii



Kimox
the Instructor

Thanks!!
Mkuu msaada tafadhal nmejarbu kuunlock. modem ya Voda kwa kutumia maelekezo yako imekubali lakini nmejarbu kuunlock modem ya tigo imekataa
 
Back
Top Bottom