Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Hivyo vioja vya udini na ukabila vina ukweli mkubwa kwasababu wewe binafsi ni mmoja wa wanaonufaika na ukabila huo huwezi kuliona tatizo hilo!
Chama
Gongo la mboto DSM
Kwa wale wanaonifahamu hapa jamvini wanajua mimi nafanya nini. Sioni sababu yoyote ya kujieleza kwako wewe mtetezi wa uozo wa DHAIFU na magamba. Hunijui wala sina mpango wa kutaka unifahamu hunipunguzii wala kuniongezea chochote kile.

Mkakati wao huo mpya ulikuwa unapwaya sana humu kwenye mitandao. WJM amepewa( amejipa?) kazi hiyo. Inaelekea ataimudu kwa kuwa mara zote hakimbii mashambulizi kama akina Nape. Nawaomba akina Kinana wamuwezeshe kwa sana tu. Nimesikia wanaanzisha upya chuo cha makada wao. Wasimsahau WJM. Wampeleke huko. Wampike aive vizuri zaidi kisiasa na kiitikadi.me nawapa pongezi moja tu, kwa kuanza kuzinduka kukijenga chama upya maana walijisahau sasa sijui kama watafanikiwa ama vipi, mungu akipenda wanaweza kusimama vizur CCM kwa sababu CCM si chama kibaya ila kuna watu wabaya na hao watu wabaya ndo wanafanya CCM hionekane mbaya na hao watu wabaya wameshindwa kuwatoa sasa ubaya unazidi, na wabaya wanazidi jaman KUFUGA MARADHI NI VIBAYA SANA MAANA YAKISHAKUWA MAKUBWA YANAKUGHARIMU ZAIDI.
-Mbaya zaidi anayeongea Udini ni TUNTEMEKE ambaye nimekua nikiambatana nae kwenye kitimoto
Ukabila ni state of mind na mara nyingi watu ambao ni short sighted ndiyo huutumia.
Le Mutuz mbona anasema anakujua mpaka mdingi wako!
Mkuu Ritz, nimefuatilia hii thread toka mwanzo. Nimeshindwa kuchangia cuz nimeona ni kama watu wameanza kushambuliana badala ya kubaki kwenye mada husika. Kwa kiasi kikubwa naona William amekosea sana, kuna mambo hakupaswa kuandika, though tumeshamzoea!! Kwa nafasi tuliyompa hakutakiwa aonyeshe this kind of behavior. Anyway, chama kinafahamu zaidi na haya tunayaona. Kwa maoni yangu hii siyo njia sahihi, na kiongozi mzuri atakiwi awe hivi.
Ndio maana nikapoint out umri, na ndivyo ilivyotokea...........Mawazo yako yoote unadhani mimi CDM. Si mwanachama wala shabiki wa chama chochote.
Na bado narudia nilichoandika: "Honestly kuna tofauti kubwa sana kati ya umri na uelewa"
Tafakari.
Jaribu kutafakari kabla ya kuandika
kwani wewe ni nani nduguyangu?..MODERATOR au?maana naona umeshikilia hapohapo kwenye kukujua au kutokukujua.
AU WEWE NI MTOTO WA MBOWE NINI?.
Aaah,whatever,kukujua au kutokukujua hakuniongezei wala kunipunguzia vitamin yeyote aisee.
Comrade.....
Ukweli ni kwamba siasa za Tanzania sasa hivi zimeingiliwa na hazina maana yoyote......Vyama (ikiwa ni pamoja na chama tawala, CDM na vingine) vimekuwa vikundi vya mipasho, havina tofauti na enzi zile za TOT Taarab (Khadija Kopa) na Muungano Cultural Troupe(Bi Nasma Khamis Kidogo - RIP)......Siku hizi vyama badala ya kueleza nini watawafanyia watanzania, vyenyewe ni kutupiana maneno ya kejeli, kutukanana na kila aina ya upuuzi.....Ni ajabu kuona CCM badala ya kueleza ni wamewafanyia watanzania katika miaka 50 ya Uhuru (ambavyo vipo na vinaonekana) wao wanakaa na kuisakama CHADEMA na viongozi wake......
Inashangaza pia kuona CHADEMA kama chama mbadala katika siasa za Tanzania badala ya kuutumia muda huu wa kuelekea mwaka 2015 badala ya kuwaeleza watanzania nini watawafanyia mara watakapochaguliwa wao nao kila uchao wamekuwa wakiisakama CCM na viongozi wao kila uchao.....Imekuwa ni mipasho tu kila kukicha.....
Ni ajabu kuona viongozi wa vyama vya kisiasa (hasa wa CCM na CHADEMA) wakitumia muda mwingi kukashifiana na kukashifu vyama vyao badala ya kuwaeleza wananchi sera na nini wamewafanyia/watawafanyia wananchi hao wa taifa hili maskini.....Hu si wakati wa viongozi wa CHADEMA kutumia muda mwingi kuelezea udhaifu wa sekretarieti mpya ya CCM, huu ni muda wa wao kujipanga na kwenda kwa wananchi na kuwaeleza nini watawafanyia mara watakapowachagua(kumwaga sera), huu ni wakati wa kwenda kuwatongoza wananchi, huu ni wakati wa kuwashawishi wananchi kujenga imani na chama hicho, kuisakama sekretarieti ya CCM na agenda isiyochuja ya ufisadi hakutakisaidia CHADEMA kuingia madarakani, CCM imekuwa dhaifu tangu mwaka 2005 baada ya mgawanyiko uliotokana na mtandao lakini bado imeendelea kushinda uchaguzi( wa Urais, wabunge na madiwani) na kuendelea kushika dola... Agenda ya ufisadi imeanza kuzungumzwa majukwaani tangu mwaka 2006 pamoja na kuwaingia watanzania bado haijawasaidia CHADEMA kisiasa......CHADEMA wanapaswa kuutumia muda huu(ambao kimsingi ilitakiwa ianze tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010) kujiimarisha kisiasa na kujenga imani kwa watanzania kwa kuwaeleza nini watawafanyia pamoja na kujenga mtandano ulio imara kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa badala ya kutegemea ofisi na viongozi wa kujitolea kama ilivyo sasa......CHADEMA wanapaswa kutafuta ofisi na viongozi katika kila eneo la nchi hii (bara na visiwani) kuanzia katika ngazi ya Tawi mpaka mikoani na si kutegemea Operesheni Sangara, M4C n.k.....Kwa kufanya hivyo watakuwa karibu zaidi na wananchi......Kutumia muda mwingi kuelezea ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali na kuiponda sekretarieti mpya ya CCM hakutakisaidia CHADEMA....Kama sekretarieti hiyo ni dhaifu ni bora CHADEMA wakatumia mbinu za kisiasa kuutumia udhaifu huo kujinufaisha kisiasa, kuisakama na kuiponda majukwaani ni dalili za KUIOGOPA..
Kwa chama changu CCM, kwa kweli sitofautiani na ndugu yangu Comrade Mchambuzi .....Niko naye ukurasa mmoja kabisa, chama chetu kina matatizo mengi sana kiasi kwamba kwa walio karibu na siasa za ndani za CCM wanaweza kudhani kuna vyama zaidi ya vinne ndani ya CCM, kinachosababisha hali hii si kingine, ni makundi ya waroho wa madaraka (wanaoutaka urais) , rushwa pamoja na kulindana ndani ya chama... Makundi ndani ya chama ndiyo imekuwa kansa inayokitafuna chama kuanzia mwaka 2005 na kadri siku zinavyokwenda kansa hii imezidi kuwa sugu na sasa makundi zaidi yanaundwa kwa ajili ya kujipanga kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hii ni hatari sana, haya tunayoyasikia ya Membe na Bashe ni manynyu tu, mvua kamili itaanza kuonekana/kunyesha mwaka 2014....Makundi haya yasipodhibitiwa(japo ni too late) yatakifanya chama kiwe na hali mbaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015...Hali hii ya makundi ipo hata katika ngazi ya Ubunge na Udiwani......
Kuhusu Rushwa ndani ya chama kwa sasa; ni miujiza pekee ndiyo inayoweza kutenganisha rushwa na uongozi ndani ya chama chetu hiki....Rushwa nayo imekuwa kansa ambayo tiba yake ni ngumu kupatikana......Sijajua ni mbinu zipi hasa mzee wangu mpiganaji na muadilifu Philip Mangula atazitumia katika kupambana na rushwa na wala rushwa ndani ya chama maana karibu asilimia 90 ya viongozi wa chama na wawakilishi(wabunge,wjumbe wa baraza la wawakilishi,madiwani,masheha n.k) wameingia madarakani kwa rushwa.....Nasubiria hiyo miujiza ya kuwaondoa waliopata uongozi kwa rushwa ndani ya miezi 6......Ila kiukweli nina imani sana na sekretarieti mpya ya CCM na nimefurahishwa na utaratibu unaotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM Kanali(mstaafu) Abdulrahman Kinana kuzunguka na viongozi wa serikali katika mikutano yake na kuwabana mbele ya wananchi.....Hii inadhihirisha kwamba sekretarieti hiyo imekuja kikazi zaidi na si porojo.....
Ni matumaini yangu kwamba mzee Mangula kama Kiongozi wa maadili ndani ya chama atasaidia katika kuondoa tatizo la kulindana na kuwashughulikia viongozi na wanachama wasio waadilifu ndani ya CCM, na kwa kuanzia waanze na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa na baadae kwa wale wote wenye uroho wa madaraka ambao wanatumia muda mwingi kukidhoofisha chama kwa kuendekeza makundi ndani ya chama na kuzua mpasuko ambao unakigharimu chama na utazidi kukigharimu siku za usoni.......
Siasa si uadui.......Japo ni mchezo mchafu
Tutabanana humuhumu ndani ya CCM.....
Bala.
Kama WJM ndie FMES unalolisema hapa ni kweli kabisa. Ukimbana kikamilifu kwa hoja anakimbilia kutangaza kukujua sana tu.Kwa story za kutunga ndio mwenyewe. Siku moja tulikuwa tunaongea kupitia PM basi acha anishupalie ananijua hivyo nimpe namba yangu anipigie simu au nimpigie mimi na namba yake akanipa. Alikolalia yeye Le Mutuz mimi ndiko nilikoamkia. Nikamuuliza kama unanifahamu mimi ni nani? akaanza kung'aa macho na kisha akaingia mitini. Hanijui hata chembe ila ni mzuri kwa kutunga story akienda kule Hollywood anaweza kutengeneza mchuzi mzuri sana.
Kwa story za kutunga ndio mwenyewe. Siku moja tulikuwa tunaongea kupitia PM basi acha anishupalie ananijua hivyo nimpe namba yangu anipigie simu au nimpigie mimi na namba yake akanipa. Alikolalia yeye Le Mutuz mimi ndiko nilikoamkia. Nikamuuliza kama unanifahamu mimi ni nani? akaanza kung'aa macho na kisha akaingia mitini. Hanijui hata chembe ila ni mzuri kwa kutunga story akienda kule Hollywood anaweza kutengeneza mchuzi mzuri sana.
That is your opinion, but I beg to differ with your opinion. Maisha yake hayana siri na sioni cha ajabu yoyote kumwambia mtu aache utoto na kubadilika ili aanze kusimamia responsibilities zake kama Baba na pia mume badala ya kufanya vitu vya ajabu ajabu. Huo ni ushauri ambao ningempa hata ndugu yangu wa kutoka nitoke. Akitaka anaweza kuufuata au la na kuendelea na utoto wake.
Kwa maana hiyo hapo Chadema mpo wengi sana short sighted na ndio sababu wananchi wanawaogopa kuwapa uraisi!
Chama
Gongo la mboto DSM
Sioni unachokifanya zaidi ya kumuonea wivu mwanaume mwenzako; yaani kama mambo fulani ya kidemu umeingia nahoja zako kike mpaka umeatuaharibia mjadala wetu; mapimbi kama wewe niwajue ili iweje?
Chama
Gongo la mboto DSM
That is your opinion, but I beg to differ with your opinion. Maisha yake hayana siri na sioni cha ajabu yoyote kumwambia mtu aache utoto na kubadilika ili aanze kusimamia responsibilities zake kama Baba na pia mume badala ya kufanya vitu vya ajabu ajabu. Huo ni ushauri ambao ningempa hata ndugu yangu wa kutoka nitoke. Akitaka anaweza kuufuata au la na kuendelea na utoto wake.
Comrade.....
Ukweli ni kwamba siasa za Tanzania sasa hivi zimeingiliwa na hazina maana yoyote......Vyama (ikiwa ni pamoja na chama tawala, CDM na vingine) vimekuwa vikundi vya mipasho, havina tofauti na enzi zile za TOT Taarab (Khadija Kopa) na Muungano Cultural Troupe(Bi Nasma Khamis Kidogo - RIP)......Siku hizi vyama badala ya kueleza nini watawafanyia watanzania, vyenyewe ni kutupiana maneno ya kejeli, kutukanana na kila aina ya upuuzi.....Ni ajabu kuona CCM badala ya kueleza ni wamewafanyia watanzania katika miaka 50 ya Uhuru (ambavyo vipo na vinaonekana) wao wanakaa na kuisakama CHADEMA na viongozi wake......
Inashangaza pia kuona CHADEMA kama chama mbadala katika siasa za Tanzania badala ya kuutumia muda huu wa kuelekea mwaka 2015 badala ya kuwaeleza watanzania nini watawafanyia mara watakapochaguliwa wao nao kila uchao wamekuwa wakiisakama CCM na viongozi wao kila uchao.....Imekuwa ni mipasho tu kila kukicha.....
Ni ajabu kuona viongozi wa vyama vya kisiasa (hasa wa CCM na CHADEMA) wakitumia muda mwingi kukashifiana na kukashifu vyama vyao badala ya kuwaeleza wananchi sera na nini wamewafanyia/watawafanyia wananchi hao wa taifa hili maskini.....Hu si wakati wa viongozi wa CHADEMA kutumia muda mwingi kuelezea udhaifu wa sekretarieti mpya ya CCM, huu ni muda wa wao kujipanga na kwenda kwa wananchi na kuwaeleza nini watawafanyia mara watakapowachagua(kumwaga sera), huu ni wakati wa kwenda kuwatongoza wananchi, huu ni wakati wa kuwashawishi wananchi kujenga imani na chama hicho, kuisakama sekretarieti ya CCM na agenda isiyochuja ya ufisadi hakutakisaidia CHADEMA kuingia madarakani, CCM imekuwa dhaifu tangu mwaka 2005 baada ya mgawanyiko uliotokana na mtandao lakini bado imeendelea kushinda uchaguzi( wa Urais, wabunge na madiwani) na kuendelea kushika dola... Agenda ya ufisadi imeanza kuzungumzwa majukwaani tangu mwaka 2006 pamoja na kuwaingia watanzania bado haijawasaidia CHADEMA kisiasa......CHADEMA wanapaswa kuutumia muda huu(ambao kimsingi ilitakiwa ianze tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010) kujiimarisha kisiasa na kujenga imani kwa watanzania kwa kuwaeleza nini watawafanyia pamoja na kujenga mtandano ulio imara kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa badala ya kutegemea ofisi na viongozi wa kujitolea kama ilivyo sasa......CHADEMA wanapaswa kutafuta ofisi na viongozi katika kila eneo la nchi hii (bara na visiwani) kuanzia katika ngazi ya Tawi mpaka mikoani na si kutegemea Operesheni Sangara, M4C n.k.....Kwa kufanya hivyo watakuwa karibu zaidi na wananchi......Kutumia muda mwingi kuelezea ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali na kuiponda sekretarieti mpya ya CCM hakutakisaidia CHADEMA....Kama sekretarieti hiyo ni dhaifu ni bora CHADEMA wakatumia mbinu za kisiasa kuutumia udhaifu huo kujinufaisha kisiasa, kuisakama na kuiponda majukwaani ni dalili za KUIOGOPA..
Kwa chama changu CCM, kwa kweli sitofautiani na ndugu yangu Comrade Mchambuzi .....Niko naye ukurasa mmoja kabisa, chama chetu kina matatizo mengi sana kiasi kwamba kwa walio karibu na siasa za ndani za CCM wanaweza kudhani kuna vyama zaidi ya vinne ndani ya CCM, kinachosababisha hali hii si kingine, ni makundi ya waroho wa madaraka (wanaoutaka urais) , rushwa pamoja na kulindana ndani ya chama... Makundi ndani ya chama ndiyo imekuwa kansa inayokitafuna chama kuanzia mwaka 2005 na kadri siku zinavyokwenda kansa hii imezidi kuwa sugu na sasa makundi zaidi yanaundwa kwa ajili ya kujipanga kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hii ni hatari sana, haya tunayoyasikia ya Membe na Bashe ni manynyu tu, mvua kamili itaanza kuonekana/kunyesha mwaka 2014....Makundi haya yasipodhibitiwa(japo ni too late) yatakifanya chama kiwe na hali mbaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015...Hali hii ya makundi ipo hata katika ngazi ya Ubunge na Udiwani......
Kuhusu Rushwa ndani ya chama kwa sasa; ni miujiza pekee ndiyo inayoweza kutenganisha rushwa na uongozi ndani ya chama chetu hiki....Rushwa nayo imekuwa kansa ambayo tiba yake ni ngumu kupatikana......Sijajua ni mbinu zipi hasa mzee wangu mpiganaji na muadilifu Philip Mangula atazitumia katika kupambana na rushwa na wala rushwa ndani ya chama maana karibu asilimia 90 ya viongozi wa chama na wawakilishi(wabunge,wjumbe wa baraza la wawakilishi,madiwani,masheha n.k) wameingia madarakani kwa rushwa.....Nasubiria hiyo miujiza ya kuwaondoa waliopata uongozi kwa rushwa ndani ya miezi 6......Ila kiukweli nina imani sana na sekretarieti mpya ya CCM na nimefurahishwa na utaratibu unaotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM Kanali(mstaafu) Abdulrahman Kinana kuzunguka na viongozi wa serikali katika mikutano yake na kuwabana mbele ya wananchi.....Hii inadhihirisha kwamba sekretarieti hiyo imekuja kikazi zaidi na si porojo.....
Ni matumaini yangu kwamba mzee Mangula kama Kiongozi wa maadili ndani ya chama atasaidia katika kuondoa tatizo la kulindana na kuwashughulikia viongozi na wanachama wasio waadilifu ndani ya CCM, na kwa kuanzia waanze na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa na baadae kwa wale wote wenye uroho wa madaraka ambao wanatumia muda mwingi kukidhoofisha chama kwa kuendekeza makundi ndani ya chama na kuzua mpasuko ambao unakigharimu chama na utazidi kukigharimu siku za usoni.......
Siasa si uadui.......Japo ni mchezo mchafu
Tutabanana humuhumu ndani ya CCM.....
Bala.
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za
uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!
- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!
- KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
You're entitled to your opinion.....
sasa si ungemfata ukampe ushauri wako huo.au unge mPM.
Wewe umeona hapa jf ndo pa kupeana ushauri wa mambo binafsi?tena kwenye jukwaa la siasa.?
Ungemwambia,''bro Le mutuz twenzetu PM kuna ushauri nataka kukupa ''.SIMPLE..