Finally: BBC speaks the truth

Hivi Huwa NAJIULIZA Kama kuna Wahutu wana save kwenye Serikali ya Kagame ..ambayo haitaki kutambua Kuwa kuna Wahutu wenye msimamo wa Kati wengi Tu waliouliwa na Watutsi kwenye ile vita...hawa ni Wahutu waliojitolea kuwahifadhi Ndugu Zao Watutsi na kuishia kuuliwa na Wahutu wenzao ..pia ni Wahutu hasa Wazee ,Kinamama na watoto waliouliwa na Watutsi kwenye Mapambano ya kulipizaa Kisasi

Unajisikiaje Kama mhutu kila mwaka wanakumbukwa tu wenzako ...na Ndugu zako waliojitolea kuwalinda hawakumbukwi......Mimi naona kumbu kumbu ya kila mwaka is a constant reminder to Tutsi that Hutu killed us ..and a constant reminder to Hutu ..in creating in them a inferiority syndrome ...this cannot be a cure at all against avoiding Re occurrence of another genocide Wakati hata Wahutu wanaofanya kazi na Kagame rohoni wanasinoneka ..kwa kukumbushwa kila mwaka that ..you must pay the price by remaining ...quiet.
 

Mkuu cjakuelewa ebu nifafanulie viziri
 
Mkuu Patric Elias ukiona hivyo lengo lililokusudiwa la hizi media limetimia maana wao kazi yao ni kulisha watu propaganda zao kuhusu Africa na Ulaya na ndio maana unaona hivi maana Wanyarwanda kama wao walikaa chini na kuondoa sintofahamu na kusahau yaliyopita na kujenga Rwanda yao. Mbona South Africa kuna mambo mengi tu mabaya yalitokea hawaichonoi maana wao kama Rwanda walikaa chini kupitia tume ya ukweli na upatanishi ikiongozwa na Dasmond Tutu waliamua kujenga South Africa yao mpya kwa kusahau yote yaliyopita na kuanza upya na hata ikitokea conflict yoyote au changamoto yoyote isiangaliwe kutokana na history ya yaliyopita lakini hawaichonoi (kwa kuwa kule kuna wenzao wahamiaji). Wenzetu vyombo vyao vinatumika kupiga propaganda ya mambo mazuri ya Ulaya na Marekani na mabaya ya Africa na Asia
Mkuu Somoche hii yote inatokana na kutokuwa na media ambazo zinaeleza mazuri ya Africa kimataifa maana hata hizo zilizopo zinategemea kwa baadhi ya information kutoka kwenye hizo media za kibeberu, bahati mbaya na radio tulizo nazo dakika kumi zinaelezea current affairs alafu zinazobaki zote ni miziki na matangazo ya pombe, sababuni na matamasha matokeo yake Taifa linabaki na watu wenye kufikiria mambo mengi ambayo unproductive na machache ambayo ni productive
 
Last edited by a moderator:

Duh! Yaan wewe ndo umenifunbua macho aisee! Mi nilijua najadiri na watu wa kawaida tu ambao hawana maslahi yoyote ktk haya mambo, kumbe najadili na wazee wa kazi?! Yaani kumbe hawa watu wako kazini! Sasa picha inaanza kuja make hawa watu watu huwa wanapinga sana western media, mfano kuhusu report za gaza na ukraine hawa watu walikuja hapa wakatuambia tusiamini media za west eti hazina ukweli bali zinaripoti propaganda tupu, cha ajabu sasa wako upande wa hizohizo media dhidi ya rwanda, najaribu kujiuliza huu urafiki wa dharura/utetezi wa habari za bbc umeanza lini? Najua kabisa hao bbc wakiripoti kuhusu gaza habari ambazo haziwafurahishi hawa jamaa wataigeuka na kukiita chombo cha propaganda za magharibi. Kazi kwelikweli
 
Uko sahihi Ngongo, kuongezea hoja tu ni kuwa Pamoja na kuuwawa wahutu wengi huko Kongo lakini kinachowatisha zaidi RPF ni ule ukweli kuwa Kagame alitumia hali iliyokuwepo Rwanda kuhalalisha utawala wake. Hakuna chunguzi za chanzo cha ajali ya Juvenal Habyarimana zinazoonesha kuwa ni jeshi la Serikali ya Rwanda(FAR) au kikundi chochote cha kihutu kilichohusika. Nyingi zinaonesha RPF walihusika ila zinafichwa uvunguni kwasababu ya Maslahi ya USA na Uingereza. Kinachoonesha kuwa kagame ni mwanajeshi mzuri lakini sio kiongozi mzuri ni pale anaposhindwa hata kuficha hisia zake hata kwa mambo yaliyowazi. Mfano: Muda mfupi baada ya RPF kuchukua nchi kikosi kimoja cha RPF kilienda na kumiminia risasi wahutu waliokuwa wamepiga kambi sehemu wakiogopa kurudi majumbani kwa hofu ya kuuwawa. Japo mashuhuda wanasema watu 5000 walikufa UN walisema 2000 na kagame akasema 300 na kitu. Sasa cha kushangaza ni kuwa kama anakubali kuwa kuna wahutu waliuwawa ktk vita hiyo japo sio mauaji ya halaiki ni kwanini hakuna makumbusho ya wahutu waliouwawa ktk vita ktk mazingira ya RPF kulipiza kisasi? Makumbusho sio kwa ajili ya Genocide tu hata waliokufa ktk matukio mengine nao wanaweza kukumbukwa. Yule dada Ingabire alihoji hilo swala ni kwanini hakuna makumbusho ya wahutu waliouwawa na RPF? Amefungwa jela eti anakataa kuwepo kwa Genocide. Sasa hivi inaonesha influences za akina Clinton na Blair zinazidi kuisha hivyo ni kama miti imeanza kuteleza. Angekuwa mjanja angesikiliza ushauri wa kikwete yeye akatunisha kifua na kuanza kuendesha siasa za fitna dhidi ya TZ akitegemea support ya Kenya na Uganda, hilo nalo kosa jingine, alitakiwa ajue kuwa wakenya hawana Political and diplomatic influence ya kuweza kuisumbua TZ hivyo angekwepa sana kushughulika na TZ kama alivyoshughulika na Ufaransa.
Kagame sio kiongozi mzuri kwasababu hajui anaipeleka wapi Rwanda, anachofanya ni kuhakikisha takwimu zinakaa sawa ili asifiwe na USA na UK. Kama angekuwa kiongozi mzuri basi angefanya na kuzingatia yafuatayo: kwanza kwa kuzingatia mfumo wa kiuchumi uliopo duniani sasa hivi ni ngumu kwa nchi kama Rwanda kuja na model mpya ya uchumi tofauti na model zilizopo duniani. Pili angekubaliana kuwa model bora kwa nchi kama Rwanda ni nchi kama Uswisi au Luxembourg ktk nchi hizi Luxembourg pamoja na mambo mengine imejifanya kituo kikubwa cha uzalishaji wa kiviwanda, Uswisi pamoja na mambo mengine imejifanya kituo kikubwa cha biashara ya fedha. Ukiangalia nchi hizi zimejikubali zilivyo kwahiyo hazihangaiki kabisa kutafuta military superiority ila zimewekeza sana ktk diplomasia, hivyo kagame angetakiwa kufanya hivyo kwa moyo wa kizalendo kabisa bila chembe ya ubinafsi. Pamoja na kuwa yeye ni mtu ambaye amekuwa msituni muda wake mwingi(japo kuna watu wanataka kutuaminisha kuwa kagame aliingia msituni ili kuikomboa Rwanda) lakini sidhani kama anashindwa hata kutambua kuwa approach anayoenda nayo haiipeleki Rwanda mahali pazuri. Haya mambo yako wazi 'kulikuwa na mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi na kulikuwa na idadi kubwa pia ya wahutu waliuawa bila hatia' kagame afanye maridhiano ya kweli na sio kubase upande mmoja huku akijiita rais wa Rwanda. Aifanye Rwanda ni ya wanyarwanda wote isiwe kila unapokutana na Mhutu huko duniani unasikia malalamiko tu kuhusu utawala wa Rwanda.
 

WaCongo wamekuwa wakiuana hata kabla Kagame hajazaliwa. Suala la mnaojiita watanzania wengi kuikataa Rwanda ni uzushi. Ni lini ilifanyika poll kutoa uamuzi huu. Wengi mnaoichukia Rwanda mnafanya hivyo kwa minajili ya ukabila na chuki dhidi ya Tutsi. Hampendezwi na maendeleo ya Rwanda (ambayo yananufaisha hutu walio wengi) kwa kuwa tu Kagame ni Tutsi. Wakati wa Habyarimana na genge lake la wauaji hamkuwahi kusema lolote kukemea maovu. Leo hii Rwanda ina amani na umoja mko busy mnahaha kutunga na kusambaza uongo. Screw that b.itch Corbin, who cares what the Telegraph says. We do not need some European news outlet to school us on what we know firsthand happen. Watanzania tuache unafiki.
 

Maneno yako mengi....lakini hayajustify kinachofanywa na kagame kuwalaumu wahutu kwa mauaji ya kimbari..Kagame has to pay for his deeds
 
Justice for All, Why innocent Hutu who also were killed are not recognised in the genocide against Tutsis?.
 
madam, no body is denying genocide of Rwanda, what people are arguing is that, it din't happen only against tusi, it also was against hutu. if more than 800,000 tutsis were killed during genocide of 1994, given the tribal statistic of Rwanda in 1994 then there would be no tutsi in rwanda today, all would have varnished because the population of Tutsi in 1994 was smaller than the purported number of tutsi who were killed. this draws an inference that, it is possible genocide against hutu happened and the bigger number of deaths were hutu, not tusi. umeelwa?
 

were you there in action au umecopy na kupaste bila kuweka source kama kawaida yako?
 
Hii yote ni kwa sababu wanataka kubakia kula hivyo wanajifanya kumuunga mkono Kagame. Rwanda ni nchi inayo ongozwa kwa nidhamu ya uwoga,nau kifanya choko Kagame atakumaliza. Uwongo una mwisho na sasa dunia imeshajuwa ukweli juu ya genocide....ukweli haufichiki kamwe hata uue watu to hide the truth, the truth will prevail.
 
Hii clip ya pili ime summarize vizuri zaidi....media imesaidia kuweka records za kihistoria sawa...
 
were you there in action au umecopy na kupaste bila kuweka source kama kawaida yako?

Sikuwepo huko Rwanda, nilikuwa nyumbani Katavi, ila nimeyafahamu kupitia kusoma na kutafiti pamoja na kujaliwa baraka za Mwenyezi Mungu. Mimi sicopy na kupoaste, mimi ni mtafiti na mchambuzi wa mambo, na siyo kilaza; ila kama wewe umezoea kucopy na kupaste, ni shiiidaaa!!! Unataka source, basi nenda:
(1) Mbaye Diagne - Wikipedia, the free encyclopedia
(2) Creating Medal Named after Captain Mbaye Diagne, Security Council Honours Senegalese Peacekeeper’s Heroic Actions during 1994 Genocide in Rwanda | Meetings Coverage and Press Releases
(3) A good man in Rwanda
 

Uchambuzi wa takwimu za mauaji kama ulivyofanywa na BBC ni kweli, kwani kama waliouawa ni 800,000+ basi Watutsi wangekuwa wamekwisha au kupoungua sana. Ukweli ni kuwa waliouawa ni Moderate Hutus na Watutsi, na waliowengi wa hawa ni Moderate Hutus, hii ni kwa kutumia logic tu. Ila huku kukazania kuwa wale 80,000+ waliouawa ni Watutsi ni kutafuta huruma na kuhalalisha kuonewa huruma. Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…