aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
Aminiusiamini: I choose not to believe. Frankly I hate people who come up with outlandish claims but do not provide any evdidence. What do you think we are? Children? " Tanzanians knew about Kagame's plans to shoot...." Well, I am Tanzanian and I did not know. You either provide a source, audio, photo or.....it never happened.
hahahah...wahutu wote wameishajipa uraia watanzania na kikwete anawakubali,na hawawezi kujitambulisha kama wahutu kwa sababu za aibu kutokana na mauaji waliyoyafanyaDuh, inatisha hiyo. Ndo maana akina Commanche murutongore MUKAMASIMBA Koba mchambawima1 wanashambulia watu humu ovyo ovyo wakidhani ni FDRL, interahamwe.
Mi huwa najiuliza kwanini jamaa wanakuwa na hisia kali namna hiyo? kumbe wanajua kilichofanyika ni kibaya.
Cha ajabu sijasikia hata siku moja humu JF watu wanajitokeza na kusema Mi ni mhutu niko ukimbizini. Sijui wamepotelea wapi?
Hili bara limelaaniwa sijui! Yaani kuna watu wako upande wa wazungu dhidi ya waafrika, mfano wazungu dhidi ya kagame, wazungu dhidi ya mugabe.
Sasa kama warwanda wameamua hivyo sisi ambao sio warwanda inatuhusu nini?!
Hata kipindi hawa warwanda wanachinjana hao british walijiweka pembeni afu leo wanaanza propaganda za kipuuzi kabisa
5,000,000 hutu died after liberation???? duh kweli genocidaire mmeamua kuleta uongo to the point that even your math does not add up. Wafe watu milioni tano na dunia isijue? hii kali.
No clue what you are talking about....sound like confused or no idea.Am sorry for confusion.But i must also say to believe or not to believe,it does not matter right now.Millions of people have perished already.we could have prevented of course.
I dnt hate Kagame,but i think he should just let go of this "genocide" issue. I was very angry in fact when wananchi walipokuwa wanazimia na kulia uwanjani.This is not fun. This is not something you want to do all the time. Haina maana zaidi ya kutonesha vidonda kila leo. Unasbabisha mtu kulipiza kisasi .
My girlfriend she was tutsi her brother was killed in the war.But she also says,the tutsi also killed alot of hutus and cover the massacre carefully. No one is a victim in this plight.
And lets be fair here what about the innocent hutus women and kids who died in the war?
Kuhusu Tanzania part, there are numerous proof and classified info displayed the role of Tanzania directly and indirectly before the war and how they could have prevented it. But they kept quiet why?
Hakuna hata nchi moja iliingilia france wanapiga kelele sasa hiv washenz wakati wao walikimbia. Hawa UK walikuwa wapi? Leo wanaleta habari haziwahusu?
Mbona Bush alienda iraq kwa kisingizo cha weapon of mass destruction alipata? Mbona BBc hawaongelei hayo na mengi tu ambayo mzungu amefanya mabaya africa?
Lazima tukubaliane kama international society and as neighboring country we owe an apology to these people for our failure to prevent this thing. Sijui africa union ina maana gani.
No clue what you are talking about....sound like confused or no idea.
Kwani watanzania ndio walioandaa hiyo documentary? Humu jamvini kuna watu tofauti tofauti sio watz pekee. Kwahiyo inategemea Story ipi inaingia akilini kwa wale wanaoamini upande wa RPF basi lazima wataendelea kutetea kilichofanywa na RPF. Kwa wale ambao wanaamini upande wa pili basi wao hii documentary inazidi kuwapa ushahidi. Ila ukitathimini mwenendo wa Kagame kama ingekuwa Product life cycle Kagame ameshafikia senescence.Nawashangaa sana watanzania wanaomchukiaga Kagame. We all know anatawala kidikteta lakini kuna diplomatic channels za kumshauri! Given the sensitive nature of this issue mi naona BBC wana lengo lao kwa kutoa documentary controversial kama hii.
Hawa BBC mnaowasifu sana mimi kwangu ni western media, and to me western media is all part and parcel of the western machine that has destroyed and looted from many African countries....kuanzia libya na kuendelea!
Watuelezee basi na the role France played in kuchochea genocide. Kama hamjui hakuna nchi inayofaidi mali za koloni zake kama Ufaransa. How France loots its former colonies | This Is Africa
View attachment 195994
hiyo picha hapo inaonyesha wanajeshi wa ufaransa wakimhand over an unwilling victim wa genocide kwa militia men.
Watanzania mnataka Rwanda ianguke tena na kuwa kama Libya au? Hapo ndio mtafurahi? Siwaelewi na naomba mmoja wenu kwa ustaarabu anielezee shida yetu sisi waTz na Rwanda iko wapi?
hahahah...wahutu wote wameishajipa uraia watanzania na kikwete anawakubali,na hawawezi kujitambulisha kama wahutu kwa sababu za aibu kutokana na mauaji waliyoyafanya
Dua la kuku halimpati.....wacha kuwadhalaulisha machinga wenzako! ndugu yangu umepitwa na mengi kweli, watutsi mshwamaliza kwenye Genocide hivi kumebakia wanyarwanda tu au haitoshi na wao lazima wauwawe wote? acha kujipa laana we chinga baada ya kufikiria biashara mpya we unafikiria kuuwa tu! duh kazi ipo
5,000,000 hutu died after liberation???? duh kweli genocidaire mmeamua kuleta uongo to the point that even your math does not add up. Wafe watu milioni tano na dunia isijue? hii kali.
Mh eti huwa unajiuliza? Hata usichoshe kichwa chako bure,mambo ya Rwanda hautoyaweza, yanaweza yakakufanya uvae chupi kichwani!nakushauri uwe unajiuliza mambo ya huko kwenu maana naona yanaenda kombo.
Hizo hisia zetu kali ndio zilizotufanya tusimamishe mauajiRwanda na tokea kipindi hicho tumejifunza mengi kutoka kwetu wenyewe, tunajuaushauri wenu (Ma extremist) na wanafiki wengineo duniani hawatupi shida,tunafanya tunachotaka na asiye kubali address yetu anaijua.
Tatizo lenu mpaka leo bado mko confused, tatizo sio huturefugees or whatever (Rwanda is for Rwandans) it is about Extremist Rwandansand their allies wherever they are, hebu jiulize hizo kelele zimemaliza miaka20 lakini mpaka leo mbona mmeshindwa kubadili kitu au maana yake ni kwambamnapenda tunavyofanya lakini unafiki unawasumbua?
Haiko youtube iko Vimeo mkubwa nyumba kubwa unajua siku siku hizi youtube wana mambo ya kijinga ya kuondoa baadhi ya video kwa maslahi yao
BBC ni noma...si hii video kuna kipindi ilikuwa haipatikani tena You tube...wameirudisha tena...lazima Bunge la Rwanda liipige stop BBC kurusha matangazo Rwanda aisee na ikiwezekana You Tube watafuata...
walipokuwa kwenye matatizo hawakuwasaidia chochote ila nashangaa sasa wanataka kuwasaidia kuipoteza aman yao. WALAANIWE MASHUSHUSHU WOTE WEUPE KWA WEUSI
Dua la kuku halimpati.....wacha kuwadhalaulisha machinga wenzako! ndugu yangu umepitwa na mengi kweli, watutsi mshwamaliza kwenye Genocide hivi kumebakia wanyarwanda tu au haitoshi na wao lazima wauwawe wote? acha kujipa laana we chinga baada ya kufikiria biashara mpya we unafikiria kuuwa tu! duh kazi ipo
[video=vimeo;107867605]http://vimeo.com/107867605[/video]
Bunge nchini Rwanda limepiga kura ya kupiga marufuku BBC nchini humo, kufuatia kipindi maalum cha Televisheni kilichoitwa ''Untold story'' kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kilichopeperushwa na BBC.
Kipindi hicho kilihoji uhusika wa baadhi ya maafisa wakuu serikalini juu ya yale yaliyotokea wakati wa mauaji ya kimbari.
Bunge hilo linataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya BBC kwa kupeperusha kipindi hicho ambacho wanasema kinahujumu mauaji ya Kimbari na pia kukana mauaji dhidi ya watutsi.
Kipindi hicho kiliwahusisha wataalamu wawili wa Marekani waliohoji maelezo kuhusu mauaji ya kimbare mwaka 1994 ambayo umoja wa Mataifa unasema kuwa watu 800,000 wengi wao watutsi na wahutu wenye msimamo wa kadri waliuawa kinyama.
Hapo jana maandamano yalifanyika mjini Kigali dhidi ya BBC kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Prudent Nsengiyumva mjini Kigali.
Katika kikao kilichodumu siku nzima, wabunge pamoja na maseneta walijadili kuhusu kipindi hicho,''Rwandas Untold Story''
Kilipeperushwa tarehe 1 mwezi huu wa Oktoba na moja ya vituo vya BBC. Wabunge hao walitoa wito wa kusitisha matangazo ya BBC nchini Rwanda.
Wanataka serikali imchukulie hatua mtangazaji wa kipindi hicho, na wale wote waliohusika kutengeza kipindi hicho.