Fimbo uliyoulia nyoka ni dawa ya umarufu usitupe fimbo hiyo

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu


Kuna vitu watu huwa hwavijui lakin vina umuhimu mkubwa sana nyuma ya pazia

Fimbo ya kuulia nyoka ni muhimu sana katika maisha yetu sema watu hamjui tu

Siku ukikutana na nyoka chukua fimbo yako mchape had afe, usimpige mawe maana ukimpiga kwa mawe utaharibu dawa

Mpige kwa fimbo had afe hasa maeneo ya kichwa

Fimbo hiyo huwa ni dawa ya kupiga pesa na umarufu

Watu wengi maarufu wanatumia dawa ya fimbo ya kuulia nyoka

Pia ni dawa ya kupata pesa

Pia watu watakuwa wanakuogopa vibaya hata maadui zako wakikuona watakuwa wanatetemeka na kubadilisha njia


Ukikosea masharit utajuta kuzaliwa maana utakuwa adui wa kila mtu kama njisi nyoka alivyo adui wa kila binadamu


LONDON BABY
 
Narudia tena usimpige nyoka kwa mawe maana utahalibu dawa na utakuwa umekosea masharit


Na ukikosea masharit utakuwa adui wa kila mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom