FILIPOoooo!!!

Nilikuwa napambana na nguvu zako za giza. Bahati yako sio zinaa, ningekukimbia!

Hahahahaaaaa...mie niwe na nguvu za giza nimekuwa shetani?
Ila kuna vyupa hapa nakutwangia,nitamwambia marejesho achanganye na maji akunyweshe labda utapata nafuu.
 
Last edited by a moderator:
Alichanganya mitungi sana jana ndo kaamka leo saa nane mchana akapepesuka toka kitandani akaangukia keyboard afu aka press submit. Matokeo ndo haya

Mume wangu hajambo!!!Hapa ametulia na haka kamvua kalaini anapata kahawa na visheti!!!
 
Hahahahaaaaa...mie niwe na nguvu za giza nimekuwa shetani?
Ila kuna vyupa hapa nakutwangia,nitamwambia marejesho achanganye na maji akunyweshe labda utapata nafuu.

Ha ha !!Hizi raha nazozipata toka kwa mume wangu Filipo nizikose? HAKUNAGA kitu kama hiyo Jombaa!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…