John Elias umenishtua daaah, uwe unaita polepole bana
Filipo vp tena braza. Au ni yale mambo ya Big L juzi.
mbona huyu Filipo anatupangisha foleni hivi jamani ?
huyu nae nani tena
Hakuna PM wala nini! Ni pepo tu natakawa nimkabili! Kemea mkuu!
Hakuna PM wala nini! Ni pepo tu natakawa nimkabili! Kemea mkuu!
Umesahau eeh!!
Jana uliniambia nini kwenye ule uzi wa mzee wa Gombe?
Alichanganya mitungi sana jana ndo kaamka leo saa nane mchana akapepesuka toka kitandani akaangukia keyboard afu aka press submit. Matokeo ndo haya
Sasa kwa taarifa yako nipo jana na leo na ukiona vipi kajitose baharini hasira zipungue!!
Uuuuuhu!? Umenishtua hivyo!? Nikazama kwenye maombi muda wote nikimkemea shetani, kuyashinda majaribu, kuikimbia zinaa na kuilinda ndoa kumbe ni mambo ya Gombe? Amen, asante Baba kwa kunilinda. Hata hivyo umenichosha!
Bado wewe
hahaaaaaaa mi wananiogopa hawawezi kunharibia. wakijaribu tu naandamana