arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 585
CAG ndiye wa kulaumiwa, kwa nini hajakagua mahesabu ya CDM!
we are talking of best practices here; cdm ( na wenzake) walipashwa ku submit vitabu vyao kwa CAG kwa ukaguzi, wao hawakufanya hivyo.
hili ni tatizo la kwanza. tatizo la pili ni kwamba hata vile vyama 4 (tlp, ccm, cuf na nccr) vilivyowasilisha vitabu vyao kwa CAG, ndipo kamati ilipobaini CAG hakuwa na pesa za kutosha.

