Filikunjombe, Zitto waitumia PAC kuiimarisha CHAUMMA

Filikunjombe, Zitto waitumia PAC kuiimarisha CHAUMMA

Mimi Nashindwa Kuelewa, kama Zitto Kabwe babu kubwa kwa nini asiende huko Chauma, CCM ama kwingine kuliko bora? aachane na Chadema kwanza keshasema na wahafidhina, sasa yeye anasubiri nini kwa wahafidhina? Huyo Filikunjombe asitusumbue, shule ndogo ana survive huko kwenye chama cha wachovu wakina Sanga na Prof Majimarefu ndio maana ana oneana ana excel huku kwa wasomi awaachie wenyewe yatamshinda, kwanza amalizane na kundi lake la wakina Lowasa kabla hajaruikai mambo asiyoyaweza.
 
attachment.php



ha ha ha --- Ajira kwa Vijana!!!
 
Mahesabu ya CDM wanajuwa watu 3 tu,Mboe,Slaa na Komu.CDM CHAMA cha kilaghai
Wapuu.zi utwajua tuu,umeshaambiwa CAG ndio kakosa fedha za kwenda kukagua hesabu hizo za Chadema sasa ulitaka Chadema wafanye harambee ili zipatikane fedha za Kulipia ukaguzi wa CAG?
 
"Mara baada ya hapo, Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni mh.Tundu Lissu (Singida Kaskazini) aliomba mwongozo wa Spika Makinda kuwa maelezo ya Filikunjombe kuhusu Ukaguzi wa hesabu za vyama na CAG yanakinzana na taarifa ya kamati yake. Lissu alifafanua kuwa katika ripoti ya PAC wenyewe wameandika kuwa Msajili wa Vyama vya siasa alishindwa kutoa tangazo kwenye gazeti la serikali juu ya hesabu za vyama tangu mwaka 2009. Kamati imebaini kuwa sababu ni wa fedha uliomfanya CAG kushindwa kufanya ukaguzi wa vyama vyote. Kamati inasema ni vyama vya CCM na TLP ndio vilikaguliwa. Kama haitoshi, kwenye moja ya mapendekezo ya Kamati ya PAC, Lissu akiinukuu ripoti hiyo, alisema Kamati imependekeza CAG atengewe fedha za kutosha ili kufanikisha ukaguzi wa hesabu za vyama."

Hii ndio sababu halisi iliyofanya CAG ashindwe kufanya ukaguzi CHADEMA!Na nafikiri ilikuwa planned makusudi ili kuendeleza propaganda tunazoziona,kuzisoma na kuzisikia.Na mbaya zaidi watu hawajadili kabisa hoja hii,wanaendeleza tu propaganda.
 
Back
Top Bottom