Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
CAG alisema hana fedha za kuendelea, sasa huo ugomvi umekujaje hapa we fara?
MSUKULEUgomvi wa Zitto na Chadema uko hapa:-
Filkunjombe Mbunge wa Ludewa,makam mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya umma (PAC) amesema "vyama ambavyo vimekaguliwa na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na mashirika ya umma (CAG ) kuhusu Mapato na matumizi ya Ruzuku ni vinne tu CUF,CCM,TLP na NCCR Mageuzi"
Nimewatonya!
mavi ni mavi tu! Hata ukiyapulizia manukato bado yataendelea kuwa mavi tu... Zitto hasafishiki kamwe... Dhambi ya usaliti ni mauti...kifo chake kisiasa hakiepukiki...
Mavi ni mavi tu! hata ukiyapulizia manukato bado yataendelea kuwa mavi tu... Zitto hasafishiki kamwe... dhambi ya usaliti ni mauti...kifo chake kisiasa hakiepukiki...
ulichojaaliwa wewe ni phd ya matusi. msalimie dj zeroCAG alisema hana fedha za kuendelea, sasa huo ugomvi umekujaje hapa we fara?
MSUKULE
Mwenzangu ni msukule!
Anawaza kimsukule!
Anaandika ili ale!
Watoto wasipige kelele!
Ma------ni ana chale!
Zilizomgeuza akili!
Anawaza kwa vidole!
Kamanda siwe mpole!
Kuna viwango vya misukule!
Hiki ndio cha kilele!
Shime shime ishimile!
Tuunusuru msukule!
nimesoma kwenye gazeti la mawio kuwa magamba wanafikiria kumpokea kumpa ubunge wa kuteuliwa ,na kumpa uwaziri.zitto kuwa waziri?wameshasahau alichokuwa anakifanya cdm.
Mahesabu ya CDM wanajuwa watu 3 tu,Mboe,Slaa na Komu.CDM CHAMA cha kilaghai
Umesahau na mwngine ambae ni mama yako.
Inasikitisha kuona vijana mnashindwa kusoma post na kuchangia kwa hisia tu. PAC kama Kamati haijatamka popote kwenye ripoti yao km kuna vyama vilivyokataa kukaguliwa. Bali ni maneno ya mdomoni ya viongozi wa Kamati hiyo. Lakini kwenye ripoti iliyowasilishwa na Deo yaonesha kuwa Msajili hakutoa tangazo la kutaka mahesabu kwa kuwa CAG hakuwa tayari kukagua kwa kuwa hakuwa na financial resources. Na kamati imependekeza na kupokelewa na Bunge azimio la kupendekeza CAG aongezewe pesa ili aifanye kazi yake vizuri.
Muhimu: Acheni kuleta hisia. Mnaidhalilisha serikali kuwa inendelea kutoa pesa kwa vyama ingaa "havitaki" kukaguliwa. Ni maajabu na kuifanya serikali ni zembe na isiyo na uwezo wa kusimamia raslimali fedha za Umma. Na hivyo, unaaondolea uhalali wa kuendelea kutawala.
sasa hapo makinda angefanyeje pasi kumlinda kaserengeti boy kake deo????
Ni CHADEMA wa kulaumiwa kwa nini wamekataa maesabu yao kukaguliwa?CAG ndiye wa kulaumiwa, kwa nini hajakagua mahesabu ya CDM!
Akihitimisha hoja ya Kamati ya Hesabu ya Fedha za Serikali Kuu (PAC), makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo mh.Deo Filikunjombe (Ludewa) aliyarudia madai ya Mh.Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) ambaye ni Mwenyekiti wake wa kamati kuwa ni vyama vinne tu ndivyo vilivyoweza kukaguliwa na CAG. Alivitaja vyama hivyo kuwa ni CUF, CCM, NCCR na TLP. Aliendelea na kurusha 'dongo' kuwa vyama vingine vimekataa kukaguliwa. Pia, kwa njia ya kejeli iliyoonekana kuelekezwa CHADEMA, Filikunjombe aliionya CCM kuwa ingawa ni chama chake lkn wasimlaumu baadae kuwa "hukututonya" kuhusu ukaguzi ujao. Hapo alikuwa akikariri maneno ya Zitto kwa CHADEMA alipokituhumu chama hicho kumvua nyadhifa zake kwa "kutokuwatonya" viongozi wake (ingawa yeye mwenyewe Zitto alikuwa ni miongoni wa viongozi wakuu wa chama hicho na ni deputy accounting officer kichama akiwa ni naibu katibu mkuu).
.