Filikunjombe, Zitto waitumia PAC kuiimarisha CHAUMMA

S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
166
Likes
3
Points
0
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined Jun 21, 2013
166 3 0
Akihitimisha hoja ya Kamati ya Hesabu ya Fedha za Serikali Kuu (PAC), makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo mh.Deo Filikunjombe (Ludewa) aliyarudia madai ya Mh.Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) ambaye ni Mwenyekiti wake wa kamati kuwa ni vyama vinne tu ndivyo vilivyoweza kukaguliwa na CAG. Alivitaja vyama hivyo kuwa ni CUF, CCM, NCCR na TLP. Aliendelea na kurusha 'dongo' kuwa vyama vingine vimekataa kukaguliwa. Pia, kwa njia ya kejeli iliyoonekana kuelekezwa CHADEMA, Filikunjombe aliionya CCM kuwa ingawa ni chama chake lkn wasimlaumu baadae kuwa "hukututonya" kuhusu ukaguzi ujao. Hapo alikuwa akikariri maneno ya Zitto kwa CHADEMA alipokituhumu chama hicho kumvua nyadhifa zake kwa "kutokuwatonya" viongozi wake (ingawa yeye mwenyewe Zitto alikuwa ni miongoni wa viongozi wakuu wa chama hicho na ni deputy accounting officer kichama akiwa ni naibu katibu mkuu).

Hata hivyo, baada ya kuhitimisha hoja yake alipitiwa kuomba kutoa hoja. Badala yake aliomba kuwasilisha hoja hadi alipokumbushwa na wenzake na Spika, ndipo alipohitimisha kwa kuomba kutoa hoja.

Mara baada ya hapo, Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni mh.Tundu Lissu (Singida Kaskazini) aliomba mwongozo wa Spika Makinda kuwa maelezo ya Filikunjombe kuhusu Ukaguzi wa hesabu za vyama na CAG yanakinzana na taarifa ya kamati yake. Lissu alifafanua kuwa katika ripoti ya PAC wenyewe wameandika kuwa Msajili wa Vyama vya siasa alishindwa kutoa tangazo kwenye gazeti la serikali juu ya hesabu za vyama tangu mwaka 2009. Kamati imebaini kuwa sababu ni uhaba wa fedha uliomfanya CAG kushindwa kufanya ukaguzi wa vyama vyote. Kamati inasema ni vyama vya CCM na TLP ndio vilikaguliwa. Kama haitoshi, kwenye moja ya mapendekezo ya Kamati ya PAC, Lissu akiinukuu ripoti hiyo, alisema Kamati imependekeza CAG atengewe fedha za kutosha ili kufanikisha ukaguzi wa hesabu za vyama. Hata hivyo Spika Makinda 'aliyeyusha' kwa kusema tu ni sawa mwongozo umesikika na wahusika watazingatia. Alichofanya Spika ni km naibu wake Ndugai jana 'alipoyeyusha' mwongozo wa Mh.Wenje kufuatia taarifa za uwongo zilizotolewa na Mchungaji mh.Assumpter Nshama (Nkenge CCM) juu ya CHADEMA.

Ukidadisi na ku-connect dots na hasa kwa wafuatiliaji huru wa siasa za kitanzania wanaweza kuona wazi kujiingiza kwa Filikunjombe kwenye siasa za Zitto na CHADEMA yake. Hali hii inaweza kuthibisha madai ya muda mrefu ya kuwa Filikunjombe ni mmoja wa wanaotarajiwa kuongoza chama ambacho hakijasajiliwa cha CHAUMMA ambacho kinaelezwa kuundwa na Zitto, Kafulila na Hashim Rungwe.
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
SDP_TZ_Mpya Hizo data source za chauma ni acordng to bills club au redbrgade ya kna saanane na yerko nyerere feki....wakat mwkt wenu wa maisha anatumia ruzuku ya chama kununulia majumba dubai na kukarabati ukumbi wa bilks mljua ofsi ya C.A.G imefutwa kwenye katba sio mtakula kuona mwakan sjui ruzuku ya vroba vya kuwanunulia vijana wa bavicha mtatoa wapi
 
Last edited by a moderator:
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
Mahesabu ya CDM wanajuwa watu 3 tu,Mboe,Slaa na Komu.CDM CHAMA cha kilaghai
Hahaha umemsahau na mhasisi mzee mtei ndye C.A.G Wa CDM zto kabwe baada ya kuona ruzuku inatumika kunufaisha familia na kununua magari mabovu ya chama kutoka kwa mwkt mbowe na kununua majumba ya mbowe dubai alijitoa kuwa sgnatory zto ajafka ufpa kwa miez sta hatumlaumu anaweza ata kupewa sumu cz mzee wa sumu almfuata nayo adi kwenye kikao ubungo kwa maelekezo ya wakuu wake wa ruzuku.haahahah redbrrrrr..wanaubiri ufsadi wakati ndio wafujaji wakubwa wa kodi za watanzania
 
Ngongoseke

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
3,210
Likes
42
Points
145
Ngongoseke

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
3,210 42 145
Yaani sijaona waongo kama hawa bavicha,kila mmoja anaeleta uwongo wake halafu unapata washabiki
 
Ngongoseke

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
3,210
Likes
42
Points
145
Ngongoseke

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
3,210 42 145
Akihitimisha hoja ya Kamati ya Hesabu ya Fedha za Serikali Kuu (PAC), makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo mh.Deo Filikunjombe (Ludewa) aliyarudia madai ya Mh.Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) ambaye ni Mwenyekiti wake wa kamati kuwa ni vyama vinne tu ndivyo vilivyoweza kukaguliwa na CAG. Alivitaja vyama hivyo kuwa ni CUF, CCM, NCCR na TLP. Aliendelea na kurusha 'dongo' kuwa vyama vingine vimekataa kukaguliwa. Pia, kwa njia ya kejeli iliyoonekana kuelekezwa CHADEMA, Filikunjombe aliionya CCM kuwa ingawa ni chama chake lkn wasimlaumu baadae kuwa "hukututonya" kuhusu ukaguzi ujao. Hapo alikuwa akikariri maneno ya Zitto kwa CHADEMA alipokituhumu chama hicho kumvua nyadhifa zake kwa "kutokuwatonya" viongozi wake (ingawa yeye mwenyewe Zitto alikuwa ni miongoni wa viongozi wakuu wa chama hicho na ni deputy accounting officer kichama akiwa ni naibu katibu mkuu).

Hata hivyo, baada ya kuhitimisha hoja yake alipitiwa kuomba kutoa hoja. Badala yake aliomba kuwasilisha hoja hadi alipokumbushwa na wenzake na Spika, ndipo alipohitimisha kwa kuomba kutoa hoja.

Mara baada ya hapo, Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni mh.Tundu Lissu (Singida Kaskazini) aliomba mwongozo wa Spika Makinda kuwa maelezo ya Filikunjombe kuhusu Ukaguzi wa hesabu za vyama na CAG yanakinzana na taarifa ya kamati yake. Lissu alifafanua kuwa katika ripoti ya PAC wenyewe wameandika kuwa Msajili wa Vyama vya siasa alishindwa kutoa tangazo kwenye gazeti la serikali juu ya hesabu za vyama tangu mwaka 2009. Kamati imebaini kuwa sababu ni uhaba wa fedha uliomfanya CAG kushindwa kufanya ukaguzi wa vyama vyote. Kamati inasema ni vyama vya CCM na TLP ndio vilikaguliwa. Kama haitoshi, kwenye moja ya mapendekezo ya Kamati ya PAC, Lissu akiinukuu ripoti hiyo, alisema Kamati imependekeza CAG atengewe fedha za kutosha ili kufanikisha ukaguzi wa hesabu za vyama. Hata hivyo Spika Makinda 'aliyeyusha' kwa kusema tu ni sawa mwongozo umesikika na wahusika watazingatia. Alichofanya Spika ni km naibu wake Ndugai jana 'alipoyeyusha' mwongozo wa Mh.Wenje kufuatia taarifa za uwongo zilizotolewa na Mchungaji mh.Assumpter Nshama (Nkenge CCM) juu ya CHADEMA.

Ukidadisi na ku-connect dots na hasa kwa wafuatiliaji huru wa siasa za kitanzania wanaweza kuona wazi kujiingiza kwa Filikunjombe kwenye siasa za Zitto na CHADEMA yake. Hali hii inaweza kuthibisha madai ya muda mrefu ya kuwa Filikunjombe ni mmoja wa wanaotarajiwa kuongoza chama ambacho hakijasajiliwa cha CHAUMMA ambacho kinaelezwa kuundwa na Zitto, Kafulila na Hashim Rungwe.
Huu mwandiko naujua kabisa,St Bavicha Primary School
 
victor shio

victor shio

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
652
Likes
3
Points
0
victor shio

victor shio

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
652 3 0
Mtasema vyote mwaka huu Lakini chadema bodo niimara.
 
arabianfalcon

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
2,292
Likes
10
Points
135
arabianfalcon

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
2,292 10 135

kama nilimsikia vizuri Mhe. Filikunjombe, alisisitiza kuwa yale anayoyasema pale si mawazo yake; bali ni maoni ya kamati ya PAC.

this being the case, does it mean kwamba pac yote ni chauma? hivi nyie cdm kwanini mkilisikia jina la zitto mnakuwa na wasiwasi kihivyo???
 
arabianfalcon

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
2,292
Likes
10
Points
135
arabianfalcon

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
2,292 10 135
Filikunjombe akisema kamwe 'hatawayonya' CCM kuhusu hesabu zao, kwani kwa kufanya hivyo atakuwa anakiuka kanuni za utawala bora ndani ya kamati ambapo wabunge / wanakamati wanapashwa kuwa non-partisan.
 
Mlayjr

Mlayjr

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
372
Likes
6
Points
35
Mlayjr

Mlayjr

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
372 6 35
Hizo data source za chauma ni acordng to bills club au redbrgade ya kna saanane na yerko nyerere feki....wakat mwkt wenu wa maisha anatumia ruzuku ya chama kununulia majumba dubai na kukarabati ukumbi wa bilks mljua ofsi ya C.A.G imefutwa kwenye katba sio mtakula kuona mwakan sjui ruzuku ya vroba vya kuwanunulia vijana wa bavicha mtatoa wapi
ubongo wako ni kama wa kuku, hili siyo jukwaa la udaku , pole Sana, Mbowe, Dr.Slaa wanawanyima usingizi, Nyerere alipata wapi nauli ya kwenye kudai uhuru ???? kama siyo kwa mzee Mbowe???? Ukoo wa mbowe una hela long tym ago, kabla baba lenu jk hajaja mjini wakati yupo vigwaza
 
LordJustice1

LordJustice1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
2,264
Likes
12
Points
0
LordJustice1

LordJustice1

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
2,264 12 0
Filikunjombe akisema kamwe 'hatawayonya' CCM kuhusu hesabu zao, kwani kwa kufanya hivyo atakuwa anakiuka kanuni za utawala bora ndani ya kamati ambapo wabunge / wanakamati wanapashwa kuwa non-partisan.
CAG ndiye wa kulaumiwa, kwa nini hajakagua mahesabu ya CDM!
 
Forum statistics

Threads 1,251,598
Members 481,811
Posts 29,777,513