Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
Na katibu mkuu wa CHADEMA akamatwe kwa kufanya mkutano ulio pelekea mauaji.
Ni ufunguzi wa tawi,si mkutano
Na katibu mkuu wa CHADEMA akamatwe kwa kufanya mkutano ulio pelekea mauaji.
Haya mabadiliko kwenye nchi yanasimamiwa na Mungu mwenyewe, watapanga mambo yao sirini lakini yatawekwa hadharani! Wataendelea kunasa kwenye mitego walio tega wao, Mungu hadhhakiwi! Uwezo wao wa kudanganya tume u outsmart!
Sasa kama askari aliyetekeleza mauaji anafahamika na wanajiandaa kumfikisha mahakamani, huo msururu wa tume za uchunguzi wa kazi gani? Hata hivyo natarajia kuona washitakiwa katika kesi hii ya mauaji ni pamoja na RPC wa Iringa.
Au tume zinalazimika kuwa nyingi ili kufanya cover up ya wahusika wakuu waliotoa amri ya kuzuia mikutano ya Chadema na kuua raia asiyekuwa na hatia.
Mmesahau ya Imran Kombe!
Arusha walianza na nani? Morogoro sijui iko je.Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
Kama Nchimbi hashangai kuuliwa kwa mwadishi kwa bomu bali anaona msg ya Slaa ni tatizo je huoni hilo ni tatizo?
.
endelea kutetea wauaji ila siku yakimpata ndugu yako wa karibu utajua unachoongea ni pumba!!Sasa mbona wameiwahi tume? Unamplekeja mtu mahakamani wakati ndiyo kwanza tume iliyoundwa kuchunguza tukio ina siku mbili tu? Watu wengine bwana.
Tuwaachie wataalamu, wataalamu my foot.
Wataalamu hawa si ndio waliotuambia Ulimboka alitekwa na mkenya?! Yule askari Moro aljinyonga huku miguu imejikunja?! Muuza magazeti Moro alipigwa na kitu cha ncha kali?
Hii nchi tuna wataalamu gani ambao hata kuandaa kesi hawawezi hadi wamefanya Zombe kaachiwa huru!!
I hate this word Wataalamu,
By the way they rely for more than 45% on the evidence provided here in JF.
sio kulalamika tume ni mfumo mwingine wa kutafuna hela ya nchi kaka,utanzaje kukamata na huku unachunguza inamaana we huoni huu ni aina ya ubabaishaji.Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
na mtaalam anayetoka moja kwa moja kwenye utaalam wake huyo hawezi kuitwa mtaalam labda tumwite mbwa koko,kwa sababu kuna wataalam wa kweli hata kama atakuwa analinda kibarua chake lakini taarifa au hilo jambo atakuwa ameliandaa kitaalam na kukwepa baadhi ya mitego ya waliomtuma.Mkuu ninakubaliana na hayo......ninachokisema mimi ni namna ambavyo wataalam wetu wanaathirika na mashinikizo ya kisiasa. ni vigumu sana kufanya kazi ya kitaaalam huku kukiwa na wanasiasa pembeni.....kwani wao watataka matokeo ya utaalam wako yalingane na malengo yao ya kisiasa... Kibaya zaidi wanasiasa ndiyo waajiri wa wataalam wetu hivyo wataalamu wetu huwa na wakati mgumu sana katika kufanya maamuzi ya kitaalam na hivyo hujikuta wakiamua kutetea vitumbua vyao zaidi....huu ni mfumo ambao huwafanya wataalam wafungwe mikono yao.... ni zaidi ya changamoto.....na kibaya zaidi hawana wa kuwatetea pindi wanavyopoteza vibarua vyao....... anyway hata wanasiasa nao hufanya hivyo ili kutetea vitumbua vyao visiingie mchanga.
Kuhusu kutoa ushahidi hakuhitaji utaalam sana....... ila jinsi ya kuutumia ushahidi huo ndio utaalam unapohitajika
Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
Sasa mbona wameiwahi tume? Unamplekeja mtu mahakamani wakati ndiyo kwanza tume iliyoundwa kuchunguza tukio ina siku mbili tu? Watu wengine bwana.
POLISI ambaye alifyatua bomu kwa karibu na kusababisha kifo cha Mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote, Fikra Pevu limefahamishwa.
Taarifa za kutoka Iringa zimeeleza kwamba kushitakiwa kwa askari huyo, kunafuatia kukamilika kwa uchunguzi wa awali ambao unathibitisha pasi shaka kwamba bomu alilofyatua ndilo lililosababisha kifo cha mwandishi huyo wa habari.
Imethibitishwa kwamba kilichousambaza mwili wa mwandishi huyo ni bomu maalumu linalorushwa kwa kutumia bunduki kwa nia ya kusambaza watu waliokusanyika kwa nia ya kutenda uhalifu na lilirushwa kwa karibu mno kinyume cha masharti na kanuni za matumizi yake.
Source: Fikra Pevu | Kisima cha busara!